Mabilioni yakutwa kwenye chumba alichojificha Yahaya na familia yake, misaada ya unrwa yatumika kifamilia

Unachanganya news mpya na zile za zamani.. kajifunze uandishi...
 
 
We ulimuona huyo yahya akiwa sniper au unadhani hii ni miaka ya 60 unaweza kudanganya watu kama stori za Nyerere kusema ameota tukio Fulani na watu wanamsikiliza
 
We ulimuona huyo yahya akiwa sniper au unadhani hii ni miaka ya 60 unaweza kudanganya watu kama stori za Nyerere kusema ameota tukio Fulani na watu wanamsikiliza
Yahya kuanzia kijana ni mpiganaji hata Nasrallah alikua mpiganaji, lakin sinwar mpaka anateuliwa alikua front vitani kifo cha Haniye kinatokea mwamba yuko Gaza mule mule. Wewe wasikilize mazayuni kila mtu ana taarifa zake anazo ziamini shida iko wapi? Ukiamua kukataa ni haki yako pia
 
Leta picha sio maneno hayo maneno hata Mimi naweza nikaamka asubuhi nikasema netanyahu yupo front sababu nayeye alikua mpambanaji tena dunia inamjua vizuri sana tangia akiwa kijana mpaka Leo anamiaka 75 hizi zama sio za kudanganya watu leta picha akiwa front mtu yupo kwenye mahandaki huko unasema front
 
Yahya ni muoga (coward) aliyejificha na familia yake kwenye mahandaki mwaka mzima
 
Mfadhili wake anasemaje
 
Hata leo hii Israel ikiamua kuwapa wapalestina nchi, mapigano na mashambulio dhidi ya waisrael hayawezi kwisha, maana kwa hawa magaidi, ugaidi ni ajira. Waache ugaidi halafu wakafanye kazi gani? Hawawezi kula hela ya Iran, hela ya UN, bila ya kuwepo vita.
 
Infact they tell them to do suicide bombing.

And they run away from violence when they get caught
 
Amekufa gaidi na mamilion ya dola chumbani kwake huku akiwaacha wananchi wa Palestina kwenye hali ngumu sana kabla ya oct7 2023
 
Kina ritz wao watavalishwa mabomu. Huyu mwamba ni gaidi haswaa
 
Ongezea alikua mbakaji mlawiti nk ila kasepeshwa
 
Sio la kushangaza, viongozi wengi wanaishi maisha ya anasa sana. Hata ingekuwa bongo hii ghafla ambush ifanywe japo kwa waziri wa noti tu unaweza kubaki mdomo wazi jinsi ambavyo amestack $$$ hadi utashangaa kwamba hii ni bongo au naota.
Mtu anaeishi maisha ya Anasa hawezi pigana Frontline that's a fact, siku nyingi tu Israel wanasema propaganda kibao kuhusu huyu jamaa, na mazombie wa media za magharibi wanazirudia. Angekua anakula raha kuna miji kibao angeweza kukaa Doha, Tehran, Moscow etc ila kafia Gaza akiwa anapigana.

Na huko Gaza hata uwe na Trillions 100 unazifanyia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…