Niliwahi ku-comment humu kwamba hakuna mtu aliekuwa akiishi maisha ya shida kama snawar, hakua na amani, huko chini ya mashimo hakukalika Bora waliokua juu ya ardhi walikua na amani kuliko snawar
Clip nyingi zilivuja namna jamaa alivyokua akihaha kuhama hama mashimo Kila alipohisi hatari,hakika alitamani aishi kawaida lkn ndo hivyo tena.kiufupi IDF walijua fika alipo, lilikua ni swala la muda tu kumuondoa maana mara kadhaa waliafika makazi yake na jamaa alikua akitoloka mda mchache kabla wayahudi kufika.
Binafsi ukiniambia nimuelezee snawar nitakwambia ni baba elieipenda mno familia yake,alitamani muda wote iwe salama, iishi vizuri, hakika hilo amehangaika kulitimizi mpaka dakika ya mwisho ya uhai wake.
Snawar alikua kiongozi mbinafsi sana, aliejijali yeye na familia yake, kipaumbele chake hakikuwa waparestine Bali familia yake, hata kifo chake ilikua ni ktk harakati za kujiokoa/ kutolokea misri baada ya kuona shimoni hakukaliki tena, Wala hakua front kama waficha maladhi wanavyojaribu kumpamba.
Kwangu Mimi namuona Ismail haniyar alikua shujaa kuliko snawar haniyar familia yake yote ilikua front, alipambana huku na kule kuhakikisha waparestine wanapata misaada na uungwaji mkono.