Mabilioni yakutwa kwenye chumba alichojificha Yahaya na familia yake, misaada ya unrwa yatumika kifamilia

Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku wakiwaacha raia wa kawaida wa Palalestina wapambane juu ya ardhi na kuwa ngao yao pale Israel inapothubutu kushambulia mahandaki.

Kwenye vyumba vya kwenye handaki alilojificha Yahya Sinwar na familia yake. kumekutwa pesa nyingi sana sawa na mabilioni ya shilingi, Mifuko ya chakula ya shirika la kimataifa la kusaidia wakimbizi unwra, Yahya alitumia pesa za misaada kuifanya familia yake iishi maisha ghali ikiwemo kumnunulia mke wake pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

View attachment 3131191

Hiki ni kipande cha video kinachoonyesha Yahya akiihamisha familia yake kwenye maficho masaa machache kabla ya shambulio la October 7, Mke wake kabeba pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

View attachment 3131195

View attachment 3131027
Unachanganya news mpya na zile za zamani.. kajifunze uandishi...
 
Propaganda za kipuuzi, yule alikuwa kiongozi hivyo ni wazi maisha yake yako juu kuliko raia.

Kiongozi ana watu anaowaongoza, bila pesa wataoperate vipi?

Kuwa kiongozi wa juu wa Hamas ni kujitolea maisha yako kwa maana unageuka target, hayo maisha ya kwenye handaki huwezi kusema ni maisha ghali kuliko hatari inayowakabili.

Juu ya yote, aliuawa wapi? Eneo la wazi hapohapo Gaza akiwapigania watu wake. Hizi propaganda za kipuuzi haziwezi kuondosha heshima tunayompa sisi wengine, Sinwar amekufa shujaa.

Apumzike kwa amani. una comment kwenye kinywaji hapo juu (chupa za wine)
 
Hivi unaelewa jinsi hapo Philadelph panavyolindwa na mazayuni angepitia wapi? Halafu maisha viongozi unaelewa jinsi watoto wa Netanyau wako Marekani kwenye maswimming pool? Ila watoto wa maskini wako gaza wanakufa kila siku achilia mbali Lebanon. Mpaka wengine wanagoma kuitumikia jeshi kwa ajili ya tamaa za mtu mmoja. Yahya kawapiga chenga wao walikua wanamtafuta kwenye mahandaki lakini yeye alikua juu tena aliku ni sniper hatari kabisa kawaua maelfu
We ulimuona huyo yahya akiwa sniper au unadhani hii ni miaka ya 60 unaweza kudanganya watu kama stori za Nyerere kusema ameota tukio Fulani na watu wanamsikiliza
 
Yahya kuanzia kijana ni mpiganaji hata Nasrallah alikua mpiganaji, lakin sinwar mpaka anateuliwa alikua front vitani kifo cha Haniye kinatokea mwamba yuko Gaza mule mule. Wewe wasikilize mazayuni kila mtu ana taarifa zake anazo ziamini shida iko wapi? Ukiamua kukataa ni haki yako pia
 
Leta picha sio maneno hayo maneno hata Mimi naweza nikaamka asubuhi nikasema netanyahu yupo front sababu nayeye alikua mpambanaji tena dunia inamjua vizuri sana tangia akiwa kijana mpaka Leo anamiaka 75 hizi zama sio za kudanganya watu leta picha akiwa front mtu yupo kwenye mahandaki huko unasema front
 
Yahya kuanzia kijana ni mpiganaji hata Nasrallah alikua mpiganaji, lakin sinwar mpaka anateuliwa alikua front vitani kifo cha Haniye kinatokea mwamba yuko Gaza mule mule. Wewe wasikilize mazayuni kila mtu ana taarifa zake anazo ziamini shida iko wapi? Ukiamua kukataa ni haki yako pia
Yahya ni muoga (coward) aliyejificha na familia yake kwenye mahandaki mwaka mzima
 
Watu kama kina Yahaya hawawezi kujali maisha ya raia wa kawaida/

Pesa za misaada na vyakula vya misaada ni kwajili ya Familia na walinzi wao, Mke ananunuliwa pochi za milioni 80 kwa pesa za misaada, Chumba kimejaa mabilioni kwajili ya usalalama wa familia.

Raia wa juu ya ardhi wanawekwa kuwa ngao na wafe kwa njaa ili kina Yahaya wapate ushahidi wa kupata misaada zaidi.
Mfadhili wake anasemaje
 
Hata leo hii Israel ikiamua kuwapa wapalestina nchi, mapigano na mashambulio dhidi ya waisrael hayawezi kwisha, maana kwa hawa magaidi, ugaidi ni ajira. Waache ugaidi halafu wakafanye kazi gani? Hawawezi kula hela ya Iran, hela ya UN, bila ya kuwepo vita.
 
Watu kama kina Yahaya hawawezi kujali maisha ya raia wa kawaida/

Pesa za misaada na vyakula vya misaada ni kwajili ya Familia na walinzi wao, Mke ananunuliwa pochi za milioni 80 kwa pesa za misaada, Chumba kimejaa mabilioni kwajili ya usalalama wa familia.

Raia wa juu ya ardhi wanawekwa kuwa ngao na wafe kwa njaa ili kina Yahaya wapate ushahidi wa kupata misaada zaidi.
Infact they tell them to do suicide bombing.

And they run away from violence when they get caught
 
Propaganda za kipuuzi, yule alikuwa kiongozi hivyo ni wazi maisha yake yako juu kuliko raia.

Kiongozi ana watu anaowaongoza, bila pesa wataoperate vipi?

Kuwa kiongozi wa juu wa Hamas ni kujitolea maisha yako kwa maana unageuka target, hayo maisha ya kwenye handaki huwezi kusema ni maisha ghali kuliko hatari inayowakabili.

Juu ya yote, aliuawa wapi? Eneo la wazi hapohapo Gaza akiwapigania watu wake. Hizi propaganda za kipuuzi haziwezi kuondosha heshima tunayompa sisi wengine, Sinwar amekufa shujaa.

Apumzike kwa amani.
Amekufa gaidi na mamilion ya dola chumbani kwake huku akiwaacha wananchi wa Palestina kwenye hali ngumu sana kabla ya oct7 2023
 
Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku wakiwaacha raia wa kawaida wa Palalestina wapambane juu ya ardhi na kuwa ngao yao pale Israel inapothubutu kushambulia mahandaki.

Kwenye vyumba vya kwenye handaki alilojificha Yahya Sinwar na familia yake. kumekutwa pesa nyingi sana sawa na mabilioni ya shilingi, Mifuko ya chakula ya shirika la kimataifa la kusaidia wakimbizi unwra, Yahya alitumia pesa za misaada kuifanya familia yake iishi maisha ghali ikiwemo kumnunulia mke wake pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

View attachment 3131191

Hiki ni kipande cha video kinachoonyesha Yahya akiihamisha familia yake kwenye maficho masaa machache kabla ya shambulio la October 7, Mke wake kabeba pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

View attachment 3131195

View attachment 3131027
Kina ritz wao watavalishwa mabomu. Huyu mwamba ni gaidi haswaa
 
Niliwahi ku-comment humu kwamba hakuna mtu aliekuwa akiishi maisha ya shida kama snawar, hakua na amani, huko chini ya mashimo hakukalika Bora waliokua juu ya ardhi walikua na amani kuliko snawar

Clip nyingi zilivuja namna jamaa alivyokua akihaha kuhama hama mashimo Kila alipohisi hatari,hakika alitamani aishi kawaida lkn ndo hivyo tena.kiufupi IDF walijua fika alipo, lilikua ni swala la muda tu kumuondoa maana mara kadhaa waliafika makazi yake na jamaa alikua akitoloka mda mchache kabla wayahudi kufika.

Binafsi ukiniambia nimuelezee snawar nitakwambia ni baba elieipenda mno familia yake,alitamani muda wote iwe salama, iishi vizuri, hakika hilo amehangaika kulitimizi mpaka dakika ya mwisho ya uhai wake.

Snawar alikua kiongozi mbinafsi sana, aliejijali yeye na familia yake, kipaumbele chake hakikuwa waparestine Bali familia yake, hata kifo chake ilikua ni ktk harakati za kujiokoa/ kutolokea misri baada ya kuona shimoni hakukaliki tena, Wala hakua front kama waficha maladhi wanavyojaribu kumpamba.

Kwangu Mimi namuona Ismail haniyar alikua shujaa kuliko snawar haniyar familia yake yote ilikua front, alipambana huku na kule kuhakikisha waparestine wanapata misaada na uungwaji mkono.
Ongezea alikua mbakaji mlawiti nk ila kasepeshwa
 
Sio la kushangaza, viongozi wengi wanaishi maisha ya anasa sana. Hata ingekuwa bongo hii ghafla ambush ifanywe japo kwa waziri wa noti tu unaweza kubaki mdomo wazi jinsi ambavyo amestack $$$ hadi utashangaa kwamba hii ni bongo au naota.
Mtu anaeishi maisha ya Anasa hawezi pigana Frontline that's a fact, siku nyingi tu Israel wanasema propaganda kibao kuhusu huyu jamaa, na mazombie wa media za magharibi wanazirudia. Angekua anakula raha kuna miji kibao angeweza kukaa Doha, Tehran, Moscow etc ila kafia Gaza akiwa anapigana.

Na huko Gaza hata uwe na Trillions 100 unazifanyia nini?
 
Back
Top Bottom