Mabilioni yakutwa kwenye chumba alichojificha Yahaya na familia yake, misaada ya unrwa yatumika kifamilia

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku wakiwaacha raia wa kawaida wa Palalestina wapambane juu ya ardhi na kuwa ngao yao pale Israel inapothubutu kushambulia mahandaki.

Kwenye vyumba vya kwenye handaki alilojificha Yahya Sinwar na familia yake. kumekutwa pesa nyingi sana sawa na mabilioni ya shilingi, Mifuko ya chakula ya shirika la kimataifa la kusaidia wakimbizi unwra, Yahya alitumia pesa za misaada kuifanya familia yake iishi maisha ghali ikiwemo kumnunulia mke wake pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

Hiki ni kipande cha video kinachoonyesha Yahya akiihamisha familia yake kwenye maficho masaa machache kabla ya shambulio la October 7, Mke wake kabeba pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

1729447991899.png
 
Watupe mrejesho kama kweli zimewafikia hao masikini anao waongelea.
Watu kama kina Yahaya hawawezi kujali maisha ya raia wa kawaida/

Pesa za misaada na vyakula vya misaada ni kwajili ya Familia na walinzi wao, Mke ananunuliwa pochi za milioni 80 kwa pesa za misaada, Chumba kimejaa mabilioni kwajili ya usalalama wa familia.

Raia wa juu ya ardhi wanawekwa kuwa ngao na wafe kwa njaa ili kina Yahaya wapate ushahidi wa kupata misaada zaidi.
 
Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku wakiwaacha raia wa kawaida wa Palalestina wapambane juu ya ardhi na kuwa ngao yao pale Israel inapothubutu kushambulia mahandaki.

Kwenye vyumba vya kwenye handaki alilojificha Yahya Sinwar na familia yake. kumekutwa pesa nyingi sana sawa na mabilioni ya shilingi, Mifuko ya chakula ya shirika la kimataifa la kusaidia wakimbizi unwra, Yahya alitumia pesa za misaada kuifanya familia yake iishi maisha ghali ikiwemo kumnunulia mke wake pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

View attachment 3131191

Hiki ni kipande cha video kinachoonyesha Yahya akiihamisha familia yake kwenye maficho masaa machache kabla ya shambulio la October 7, Mke wake kabeba pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

View attachment 3131195

View attachment 3131027
We kweli una akili za kitoto dollars 32 elfu nazo ni pesa kwa mtu kiongozi kama huyo. Hizo pesa nbona hata hununui Toyata Camry XSE 😄

TV za Israel zina lalamika walio chukua video ya Yahya Sinwar wamemuonyesha kama shujaa haya ndio niliyasema walitaka wao kumdhallisha kumbe Mungu ana mpaisha kaonekana ni A Legend 😄

View: https://x.com/ajmubasher/status/1848091991164473593?t=RbD9BhYlMy-TPi52r1xS3A&s=19
 
Back
Top Bottom