Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku wakiwaacha raia wa kawaida wa Palalestina wapambane juu ya ardhi na kuwa ngao yao pale Israel inapothubutu kushambulia mahandaki.
Kwenye vyumba vya kwenye handaki alilojificha Yahya Sinwar na familia yake. kumekutwa pesa nyingi sana sawa na mabilioni ya shilingi, Mifuko ya chakula ya shirika la kimataifa la kusaidia wakimbizi unwra, Yahya alitumia pesa za misaada kuifanya familia yake iishi maisha ghali ikiwemo kumnunulia mke wake pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).
Hiki ni kipande cha video kinachoonyesha Yahya akiihamisha familia yake kwenye maficho masaa machache kabla ya shambulio la October 7, Mke wake kabeba pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).