MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Zaidi ya mwaka sasa umepita, Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kufungiwa mara kwa mara kwa ajili ya marekebisho na kupelekea baadhi ya mechi muhimu kuahirishwa kwa zaidi ya mwaka sasa. Kwa kipindi chote hicho, na kwa mabilioni yaliyomwagwa pale, Tulitarajia uwanja angalau uwe Pitch yenye quality ya viwango vya juu kama viwanja vya Ulaya tunavyoona, uwanja uwe na double electronic LED displays, moja perimeter kuzunguka uwanja na zingine kuzunguka juu, kama ilivyo kwenye uwanja wa Amahoro, uliopo Kigali, Rwanda.
Badala yake tumeshuhudia katika derby ya Kariakoo, uwanja hauna quality, pembeni wameweka mabango yao ya mabati ya "1X BET" pitch mbaya, viti vingi bado vibovu! nk.
Maboresho gani yamefanyika kwa mabilioni tuliyoelezwa hapo awali?
Wahusika watupatie maelezo.