Mabilioni Yanga usajili utashtua, Aziz Ki balaa!

Kwa hiyo huo mkataba ikitokea yanga hajachukua taji la ligi kuu au nafasi ya pili kwa miaka 10 Yanga atapata 0?
Akili zenu ni shida sana
Usichanganye mambo yanga akiwa bingwa au akiwa wa pili anapata bonus. Ila asipokuwa top 2 inamaana hatopata hiyo bonus.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Ama kweli utopolo ni MATAAHIRA hiyo pesa ya haki ya matangazo muliyoiuza kwa AZAM miaka 10 hata musipobeba ubingwa lazima wapewe sasa utapigiaje hesabu ni malipo ya ubingwa?
 
Baada ya kufanya mapinduzi kwenye kombe la ligi ya NBC kutoka kuwa kombe mpaka kuwa brenda ya juis nasikia fununu kuna mapinduzi mengine huko,watu wameachiwa kufuli tupu bila funguo,, ufunguo(ki)wahuni wamesepa nao[emoji23][emoji28]
 
[emoji41]
 
Kocha wa yanga mwenyewe katuma cv simba nyie endeleeni kujipa moyo tu mchezaji aache kwenda simba aende utopolo walioshindwa kumlipa ntabazonkiza.
@pwilo Wewe Kolowizard Njoo Tupeane Update Za Usajili Wa Ki Aziz Kutua Msimbazi Bhn Usijifiche [emoji23]
 
Mmmmh acha uongooo, hela za mtangazo mnalipwa kwa mwezi, kila mwezi
 
Mmmmh acha uongooo, hela za mtangazo mnalipwa kwa mwezi, kila mwezi
Kuna kitu kinaitwa Bonuses kwenye hii mikataba,sportpesa kila mwaka wanaipa simba Bonuses za million 100 baada kufika robo fainali na kuchukua ligi kuu na FA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…