changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
- Thread starter
- #21
Usichanganye mambo yanga akiwa bingwa au akiwa wa pili anapata bonus. Ila asipokuwa top 2 inamaana hatopata hiyo bonus.Kwa hiyo huo mkataba ikitokea yanga hajachukua taji la ligi kuu au nafasi ya pili kwa miaka 10 Yanga atapata 0?
Akili zenu ni shida sana
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app