Mabinamu ya kweli haya jamani....

FL1 mimi sihitaji kumkumbuka such a person....kwa lipi hasa? kama mapenzi yalikwishwa ndo maana sipo nae

hell no!!! sithubutu kumpa mwanangu jina la my ex...never ever

mimi huwa nachukia hata mtu mwenye jina linalofanana na my ex....believe me
 
HAHAHA sasa wewe shost hata kufananisha majina ni kasheshe pole
 
yaani kichwa yangu ngumu....ila inawezekana kweli husband la mtu limwite mwanae jina la kidosho?? ntakuwa makini, vinginevyo will resort back to giving them majina ya bibi, babu, wapwa na mabinamu sasa
 
Unaenda wapi saa hizi? Hujaomba ruhusa ujue.

acha kuua so we Iribini!!! kwani ZD toka lini huwa anakuomba ruhusa?? au ndo tabia za babu mwenye jina hahaaaa
 
FL1 mimi sihitaji kumkumbuka such a person....kwa lipi hasa? kama mapenzi yalikwishwa ndo maana sipo nae

hell no!!! sithubutu kumpa mwanangu jina la my ex...never ever

mimi huwa nachukia hata mtu mwenye jina linalofanana na my ex....believe me

Ya kweli hayo??? Mbona inasemekana kuwa kama ulimpenda kweli huwezi kumsahau???? Hayo mambo ya majina ya watoto yapo live kabisa Tanzania.
 
ukweli mtupu hapo!!!!!!! kumpenda kweli is one thing....vipi kuhusu kupendana?? and if that is the case mbona hatukuoana basi awe mzazi mwenzangu???

simpi mtoto jina la ex- ng'oooooooo
 
Kina Masumboko Lamwai wanapeta tuu!!
Una uhakika anapeta? mara sihasa,mara mahakamani huko ndio kupeta? si ni kusumbuka jamani.We ukiambiwa uwe masumbuko lamwai dk 2 tu nyingi,ungeomba urudi kuwa kimey haraka.
 
Ngoja nikakabatize upya kabinti kangu; Nakapa jina la Elizabeth, huwezi jua kakichukua uraia wa Uingereza mambo yanaweza kuninyookea.

Haya we na usinisahau...auntie yake wa kenya!!!!
 
Jirani yangu mmoja anaitwa Richman. Ni maskini wa kutupwa mtaani. Nyie jidanganyeni na majina tu. Mafanikio ya mtu hayaletwi na majina bana. Kwa hiyo wanaoitwa Muhammad, Suleiman, Jacob, Ibrahimu, Isaka, Isaya, Maria wote wataenda peponi siyo?
Hapa tunaongelea maisha ya hapa duniani,sio ya huko mbinguni.
Sasa nikutolee mfano wa jina la Yakobo na maisha yake yalivyokuwa.
Yakobo/James maana yake ni mtu mdanganyifu........na kweli alikuwa mwongo.kwanza alimdanganya baba yake kuwa yeye ni Esau na akaiba haki ya uzaliwa wa kwanza,pili alifanya udanganyifu kwa mjomba wake akapata kondoo kibao kumzidi mjomba wake.Mungu alipoona hili jina linamuathiri akambadilisha na kumwita Israel.
 
Una uhakika anapeta? mara sihasa,mara mahakamani huko ndio kupeta? si ni kusumbuka jamani.We ukiambiwa uwe masumbuko lamwai dk 2 tu nyingi,ungeomba urudi kuwa kimey haraka.

ZD usinikumbushe yaani advoketi.....mambo take ni kama jina lake kabisaaa ni moja ya watu wanonifanya niamini jina lina madhara kwa tabia ya mtu lol!! ze jamaaa ze bingwa wa kumangamnaga

politiks, academisian sijui, kortini, na kule moshi nahisi anakashuhuli or rathe vishuhuli, kaunta hayaaaa
 
Mama mmoja alizaa na baba yangu. Alipoolewa tena akampa mwanae wa kwanza jina la mmoja wetu. Inatokea ila si vizuri spouse akijua, kama unampenda sana ungemuwowa au angekuwowa.
 
you have said it man!!!!!
 
FL1 mimi sihitaji kumkumbuka such a person....kwa lipi hasa? kama mapenzi yalikwishwa ndo maana sipo nae

hell no!!! sithubutu kumpa mwanangu jina la my ex...never ever

mimi huwa nachukia hata mtu mwenye jina linalofanana na my ex....believe me

why?
 
Bora umedhibitisha ndugu yangu,maana humu ndani **** Matomaso wakiongozwa na Iribini.Mie mwanangu bora nimwite Bht,maana jina hili zuri kweli na maana yake itakuwa nzuri!
 
Jamani shem Iribin naona naona kiwango chake ni zaidi ya THOMASO.

Bht...umeona eeeh!!! there is so much into that!!! One of the things am grateful for to my wazees lol!!!!
 
Bora umedhibitisha ndugu yangu,maana humu ndani **** Matomaso wakiongozwa na Iribini.Mie mwanangu bora nimwite Bht,maana jina hili zuri kweli na maana yake itakuwa nzuri!

Hahaha! You have said it correctly!
 
Hahaha! You have said it correctly!

she is you mchumba sasa ulitegemea akosee jina?? basi hata wewe angeweza kukosea hata kwa kukufananisha na mwingine!!!
 
sasa shida ikowaipi kama mtu anatafuta pesa?
 
Sasa kufika mbinguni si kunategemea maisha ya hapa duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…