Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FL1 mimi sihitaji kumkumbuka such a person....kwa lipi hasa? kama mapenzi yalikwishwa ndo maana sipo nae
hell no!!! sithubutu kumpa mwanangu jina la my ex...never ever
mimi huwa nachukia hata mtu mwenye jina linalofanana na my ex....believe me
HAHAHA sasa wewe shost hata kufananisha majina ni kasheshe pole
Unaenda wapi saa hizi? Hujaomba ruhusa ujue.
FL1 mimi sihitaji kumkumbuka such a person....kwa lipi hasa? kama mapenzi yalikwishwa ndo maana sipo nae
hell no!!! sithubutu kumpa mwanangu jina la my ex...never ever
mimi huwa nachukia hata mtu mwenye jina linalofanana na my ex....believe me
Ya kweli hayo??? Mbona inasemekana kuwa kama ulimpenda kweli huwezi kumsahau???? Hayo mambo ya majina ya watoto yapo live kabisa Tanzania.
Una uhakika anapeta? mara sihasa,mara mahakamani huko ndio kupeta? si ni kusumbuka jamani.We ukiambiwa uwe masumbuko lamwai dk 2 tu nyingi,ungeomba urudi kuwa kimey haraka.Kina Masumboko Lamwai wanapeta tuu!!
Ngoja nikakabatize upya kabinti kangu; Nakapa jina la Elizabeth, huwezi jua kakichukua uraia wa Uingereza mambo yanaweza kuninyookea.
Hapa tunaongelea maisha ya hapa duniani,sio ya huko mbinguni.Jirani yangu mmoja anaitwa Richman. Ni maskini wa kutupwa mtaani. Nyie jidanganyeni na majina tu. Mafanikio ya mtu hayaletwi na majina bana. Kwa hiyo wanaoitwa Muhammad, Suleiman, Jacob, Ibrahimu, Isaka, Isaya, Maria wote wataenda peponi siyo?
Una uhakika anapeta? mara sihasa,mara mahakamani huko ndio kupeta? si ni kusumbuka jamani.We ukiambiwa uwe masumbuko lamwai dk 2 tu nyingi,ungeomba urudi kuwa kimey haraka.
Mama mmoja alizaa na baba yangu. Alipoolewa tena akampa mwanae wa kwanza jina la mmoja wetu. Inatokea ila si vizuri spouse akijua, kama unampenda sana ungemuwowa au angekuwowa.
FL1 mimi sihitaji kumkumbuka such a person....kwa lipi hasa? kama mapenzi yalikwishwa ndo maana sipo nae
hell no!!! sithubutu kumpa mwanangu jina la my ex...never ever
mimi huwa nachukia hata mtu mwenye jina linalofanana na my ex....believe me
ZD usinikumbushe yaani advoketi.....mambo take ni kama jina lake kabisaaa ni moja ya watu wanonifanya niamini jina lina madhara kwa tabia ya mtu lol!! ze jamaaa ze bingwa wa kumangamnaga
politiks, academisian sijui, kortini, na kule moshi nahisi anakashuhuli or rathe vishuhuli, kaunta hayaaaa
why?
Bora umedhibitisha ndugu yangu,maana humu ndani **** Matomaso wakiongozwa na Iribini.Mie mwanangu bora nimwite Bht,maana jina hili zuri kweli na maana yake itakuwa nzuri!
Bora umedhibitisha ndugu yangu,maana humu ndani **** Matomaso wakiongozwa na Iribini.Mie mwanangu bora nimwite Bht,maana jina hili zuri kweli na maana yake itakuwa nzuri!
Hahaha! You have said it correctly!
sasa shida ikowaipi kama mtu anatafuta pesa?ZD usinikumbushe yaani advoketi.....mambo take ni kama jina lake kabisaaa ni moja ya watu wanonifanya niamini jina lina madhara kwa tabia ya mtu lol!! ze jamaaa ze bingwa wa kumangamnaga
politiks, academisian sijui, kortini, na kule moshi nahisi anakashuhuli or rathe vishuhuli, kaunta hayaaaa
Sasa kufika mbinguni si kunategemea maisha ya hapa duniani?Hapa tunaongelea maisha ya hapa duniani,sio ya huko mbinguni.
Sasa nikutolee mfano wa jina la Yakobo na maisha yake yalivyokuwa.
Yakobo/James maana yake ni mtu mdanganyifu........na kweli alikuwa mwongo.kwanza alimdanganya baba yake kuwa yeye ni Esau na akaiba haki ya uzaliwa wa kwanza,pili alifanya udanganyifu kwa mjomba wake akapata kondoo kibao kumzidi mjomba wake.Mungu alipoona hili jina linamuathiri akambadilisha na kumwita Israel.