He! What is bht? BIHECHITII? Hata kutamka halivutii. Bihechitii? LOL! Afadhali Iribini.
eeeh mwaya we chukua kikapu nenda marikiti, akinizidi namwitia compressor kisha tukipatana msosi uwe mezani tujichaneMie simo,ugomvi wa mtu na shemejiye huwa hauingiliwi.
kibluleiblulei tu(sore nimeintafia!)weee jiangalie na kauli zako hizo!!! lako la kidhungumpaka wazee wakichaga wakashindwa kulitamka.....jina hilo bht unaflow tu..ulimi tambarareeeeeee
kibluleiblulei tu(sore nimeintafia!)
hahahah Xpin hebu acha maskhara bwana mie mbado kumshitukia ila nimekumbana na discusion hapa imezua utata home kwa mtu eti amehisi wife kampa mtoto jina la ex-boyfriend wake hahahahah