Mabingwa wa Hisabati Tanzania 1966-2015

Mabingwa wa Hisabati Tanzania 1966-2015

epigenetics

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2008
Posts
269
Reaction score
81
Mwaka juzi (2016), Chama cha Hisabati Tanzania (CHAHITA / MAT) kilitimiza miaka 50 na kuchapisha muhtasari ya mafanikio yao kipindi hicho. Kwenye hilo chapisho (MAT Bulletin 2016) kuna orodha ya wanafunzi waliopata kushinda tuzo za mashindano ya CHAHITA. Kwenye hiyo orodha yumo pia mfanyabiashara maarufu ndugu Ali Mufuruki ambaye alishika nafasi ya tatu mwaka 1978 akiwa Moshi Secondary School.

MAT.jpg


MAT2.jpg


Screen Shot 2018-01-09 at 10.21.21 pm.png

Peruzi zaidi kupitia link ifuatayo kuanzia ukurasa wa 18:

www.maths.udsm.ac.tz/mat/wp-content/uploads/2016/10/MAT-BULLETIN-2016.pdf

CHANGAMOTO: Je, ni kwanini hatujawahi kupata muwakilishi katika mashindano ya hisabati ya duniani (yaani, International Mathematical Olympiad, IMO)?

cc: Deadbody
 

Attachments

Kwa haraka haraka majina mengi ninayoyafahamu hapo inaonesha ni wale waliopasua Adv. Math wakati wakihitimu kidato cha sita
 
Abdil Rashid did put Tambaza on the map back in 92.

The mam was talented and humble.

I believe we do not have a sufficiently nurturing environment to do well at the international level.


Wenzetu Ghana wanajitahidi kustimulate interest in mathematical computation
 
1993 No contest 1994 1. Dickson Humphrey Old Moshi S.S. 2. Eliezer Antony Mazengo S.S. 3. Tumaini Geofrey Same S.S. 1995 1. Holela Nyanda Mwanza S.S. 1. Mohamed S. Hajirin Arusha-Meru S.S. 2. Stephano J. Mkande Usagara S.S. 3. Anael Samwel Lugalo S.S.
 
Back
Top Bottom