epigenetics
JF-Expert Member
- May 25, 2008
- 269
- 81
Mwaka juzi (2016), Chama cha Hisabati Tanzania (CHAHITA / MAT) kilitimiza miaka 50 na kuchapisha muhtasari ya mafanikio yao kipindi hicho. Kwenye hilo chapisho (MAT Bulletin 2016) kuna orodha ya wanafunzi waliopata kushinda tuzo za mashindano ya CHAHITA. Kwenye hiyo orodha yumo pia mfanyabiashara maarufu ndugu Ali Mufuruki ambaye alishika nafasi ya tatu mwaka 1978 akiwa Moshi Secondary School.
Peruzi zaidi kupitia link ifuatayo kuanzia ukurasa wa 18:
www.maths.udsm.ac.tz/mat/wp-content/uploads/2016/10/MAT-BULLETIN-2016.pdf
CHANGAMOTO: Je, ni kwanini hatujawahi kupata muwakilishi katika mashindano ya hisabati ya duniani (yaani, International Mathematical Olympiad, IMO)?
cc: Deadbody