Mabingwa watarajiwa Young african leo Dimbani, mashabiki wa Simba waongoza katka ununuaji wa ticketi!!

Wanchojisahau Yanga ni kwamba Mwinyi Zahera aliongoza mzunguko wa kwanza wote akiwa kileleni huku akiwa hajapoteza mechi...mpaka pumzi zilipowakata mzunguko wa pili na kujeruhiwa na Kijana (el capitain) Jacob Massawe kutoka timu ya Stendi United ya mkoani Shinyanga,halo iliyopelekea Yanga kushuka na kuelekea kwenye nafasi yao huku wakiwapisha mabingwa Simba ambao kwa muda walikua na viporo kutokana na majukumu ya kuliwakilisha taifa kwenye michuano ya kimataifa ambapo kwa bahati mbaya walitolewa kwenye hatua ya robot fainali kitu ambacho hakikutarajiwa na watanzania walio wengi pamoja na Afrika kwa ujumla....kwani wengi waliamini timu hiyo ambayo alitokea Mbwana Samata... ambaye in mchezaji wa kwanza East Afrika kuwa mchezaji bora Afrika pia kuwa mfungaji bora wa ligi ya mabingwa...ingeweza kuwatoa Mabingwa hao wa zamani wa club ubingwa Afrika Tp Mazembe.

My take; Furahini sasa Yanga na mshone madera na vijora vingi kweli...kwa maana siku yaja mwenye nafasi yake ya kwanza atakuja kama Mwizi na kuichukua (Simba).
Na hapo ndipo kutakua na vilio na kusaga meno na kuilaumu TFF as if ndo imemsajili Nchimbi badala ya Miquesson...au Yacouba badala ya Chama....Siku hiyo mtalia na kusaga meno huku mkisema ni bora tungemsajili Prince Dube kuliko Sapong na hakutakuwa na muda tena....wape salaam atakua kimya huku Bumbuli akiwa mkali San kuongea na waandishi...time will tell.
 
Bingwa mtarajiwa tena.....Kwani miaka 10 imeshaisha...? Nyie Utopolo si mlishaelezwa Simba anaenda kuwa Bingwa kwa miaka kumi MFULULIZO ?...
 
Bingwa mtarajiwa tena.....Kwani miaka 10 imeshaisha...? Nyie Utopolo si mlishaelezwa Simba anaenda kuwa Bingwa kwa miaka kumi MFULULIZO ?...
yani
SIMBA NA MASHABIKI WAKE HAMNAZO, ETI MIAKA KUMI?? HIYO LIGI yA MO au??
yanahuzunisha mfanyayo😂😂[/SPOILER][/SPOILER]
 
Hizo hela wanazonunulia tiketi wangechangia bakuri lao la 300m faini kutoka FIFA..na la Morrisson linakuja FIFA hawataki ujinga
Hiyo pesa nishaongea na Mo asiilipe yeye,nitailipa mimi shabiki kindakindaki wa mikia nambari moja kutoka Puerto Rico republic
 
Hiyo pesa nishaongea na Mo asiilipe yeye,nitailipa mimi shabiki kindakindaki wa mikia nambari moja kutoka Puerto Rico republic
nasikia [ISPOILER ]MO [/ISPOILER] Amesema atajipigapiga alipe 😂😂
 
....Wape salaaaaaam
 
Utasubiri sana, Zama hazifanani we mbumbumbu.
 
Kwan hyo ni game ya kimataifa? Yanga na mambo ya kimataifa WAP na WAP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…