Mabingwa watarajiwa Young african leo Dimbani, mashabiki wa Simba waongoza katka ununuaji wa ticketi!!

Mikia wanapambana kunificha na aibu ya Morrisson,ila wanajikuta kweli wao waliingia choo cha kike kabisa
 
Haya maneno tulishayazoea, hakuna wa kutufunga kwa sasa. Mzunguko ujao mnarudi kupambana na JKT Ruvu.
 
Hongera sana chama langu kwa ushindii wa kishindo...
Tano tena!!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Matokeo ya game ya leo
(Mechi kali )young african tanzania vs Mwadui fc.
Yanga 5 Mwadui
*kaseke deus_asisit ya yacouba
*yacouba_assit ya tonombe
*yacuoba tena!!
*tk master
*na goli la kiufundi la beki mshambuliaji nahodha lamine..

Hongera sana yanga
 
๐Ÿ‘น๐Ÿ‘น๐Ÿ‘นMmevunja masharti baada ya Goli moja mmeshinda 5๐Ÿšฎ
Mtashuka darajaaa hahahahaaaa๐Ÿ‘น๐Ÿ‘น๐Ÿ‘น๐Ÿ‘น
๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
hahhahaha mkuu yanga ana improve kila game yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ