Mabingwa watarajiwa Young african leo Dimbani, mashabiki wa Simba waongoza katka ununuaji wa ticketi!!

Kwenye Vpl ni mwiko Yanga kufungwa na Mikia FC.
Huo ndio U NYANI na U MBWA aliousema team coach wenu yuleee. Inaingiaje akilini kupigwa 4-1 kwenye mechi ya mtoano iwe sio SHIDA? Zile 4 ndio zimewanyima nafasi ya kupanda ndege tukampa NAMUNGO. Iweje isiwaume sio kweli. Ila endeleeni kujifariji tu
 
yani mapinduzi hata akitupiga 7,ila vpl mikia mchumba tu[emoji23][emoji23]
Sio mtu wa mpira ww. ENDELEA NA NGOMA, MADOGORI NA USHIRIKINA UNAVYOVIFAHAMU VYEMA. Huku ktk soccer tuachie
 
Sio mtu wa mpira ww. ENDELEA NA NGOMA, MADOGORI NA USHIRIKINA UNAVYOVIFAHAMU VYEMA. Huku ktk soccer tuachie
yani kama watu wa mpira ni kama wewe,basi kama taifa inatupasa kujitafakari upya πŸ€”πŸ€”!!
 
Sio mtu wa mpira ww. ENDELEA NA NGOMA, MADOGORI NA USHIRIKINA UNAVYOVIFAHAMU VYEMA. Huku ktk soccer tuachie
mi nakushauri, user name yako inaonyesha ni jinsi gani au kipaji chako kipo wapi, kacheze kuch kuch, mpira tuachie tunaoufaham!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…