Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Kwenye Vpl ni mwiko Yanga kufungwa na Mikia FC.Mnajisahaulisha zle 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye Vpl ni mwiko Yanga kufungwa na Mikia FC.Mnajisahaulisha zle 4
Huo ndio U NYANI na U MBWA aliousema team coach wenu yuleee. Inaingiaje akilini kupigwa 4-1 kwenye mechi ya mtoano iwe sio SHIDA? Zile 4 ndio zimewanyima nafasi ya kupanda ndege tukampa NAMUNGO. Iweje isiwaume sio kweli. Ila endeleeni kujifariji tuKwenye Vpl ni mwiko Yanga kufungwa na Mikia FC.
Sio mtu wa mpira ww. ENDELEA NA NGOMA, MADOGORI NA USHIRIKINA UNAVYOVIFAHAMU VYEMA. Huku ktk soccer tuachieyani mapinduzi hata akitupiga 7,ila vpl mikia mchumba tu[emoji23][emoji23]
mi nakushauri, user name yako inaonyesha ni jinsi gani au kipaji chako kipo wapi, kacheze kuch kuch, mpira tuachie tunaoufaham!!Sio mtu wa mpira ww. ENDELEA NA NGOMA, MADOGORI NA USHIRIKINA UNAVYOVIFAHAMU VYEMA. Huku ktk soccer tuachie
Kwamba ndiyo mafanikio?Mnajisahaulisha zle 4
😂😂😃😃😃😂Hakuna kitu kinaitwa mabingwa watarajiwa