Mabingwa watarajiwa Young african leo Dimbani, mashabiki wa Simba waongoza katka ununuaji wa ticketi!!

Mabingwa watarajiwa Young african leo Dimbani, mashabiki wa Simba waongoza katka ununuaji wa ticketi!!

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,299
Reaction score
1,197
Wale mafundi wa kusakata kabumbu africa mashariki na kati, wanajangwani,kipenzi cha watanzania wapenda soka,Dar es salaam young african tanzania,leo wanatarajia kuwa na mechi kali kati yao na wababe wa mkoa wa shinyanga Mwadui fc.,ikiwa ni mwendelezo wa ligi kuu Tanzania bara.

Karibia 78% ya maandalizi ya game hiyo kubwa yameshafanyika huku wapenzi wa soka kutoka pande zote za Tanzania wakijiandaa kwenda kutazama burudaaani safi kutoka katika viwanja hivi.

Aidha katika ununuaji wa tiketi,inasemekana kuwa mashabiki wa timu moja hivi maarufu kama mikia fc😂😂, wamejitokeza kununua ticket za mchezo huo kwa wingi .hii imetokana na timu yao kusuasua katika ligi ya Vodacom.wengi wamechukizwa na tabia ya kijana konde boe kujipiga chenga uwanjani kabla ya kutafta matokeo timu ishinde.

CEO wa young african tanzania,amesema wao hawabagui mtu yeyote hivyo mikia wanakaribishwa sana ili wapate cha kijifunza kutoka kwa mabingwa hao wapya wa ligi ya Vodacom.

#assalam aleykum
Game id:526626
Time:saa 10:00
Venue: Mwadui complex

#jr
 
Hizo hela wanazonunulia tiketi wangechangia bakuri lao la 300m faini kutoka FIFA..na la Morrisson linakuja FIFA hawataki ujinga
 
Mwadui FC imesha oza hawana nguvu tena yakupambana na kupata matokeo chanya mbele ya FC MADERA
yani mikia Madera ndo mmeona habari ya mjini sio?? Kwataarifa yenu hata huko Europe wanapiga hayo hayo !! Mwadui lazima afe leo
 
Back
Top Bottom