Mabinti endeleeni kutupenda wachaga sio wote tunaroho za uharibifu

Mabinti endeleeni kutupenda wachaga sio wote tunaroho za uharibifu

Ukipata MCHAGGA wako wahi chap Ukamtolee MAHARI
WACHAGGA NI DILI
WACHAGGA NI WAPAMBANAJI
USIDANGANYIKE NDOA NI MPANGO WA MUNGU

Cc

#Chasakaa
Uwaeleze pia Wachaga ukitaka kuoa engagement ya kutowa mahari unatowa pesa muowaji unawapa ndio wanandaa na useme delegation yako ni ya watu wangapi ili upigiwe hesabu sahihi.

Sasa tutakuwa tunaweka vitu wazi.
 
Nyie ndo wale viuno kama vimefungwa mawe
Liwalo na Liwe. Sisi bia zinatutosha...

Kipochi manyoya hata mbuzi anacho. Tena alivyo na madharau kakiweka nyuma huko na mkia kaupandisha juu... Mukiangalie mtakavyo mpaka mkome....

Viuno vinakakamaa na hati hatutoi. Na bastola tunamiliki....
 
Mimi nina mdogo wangu wa kike ameolewa na mchaga! Ni familia ya wacha Mungu na maisha yao yanaendelea vizuri.
Huyo mchaga asingekuwa mcha Mungu nilishamkatia tamaa mdogo wangu.
 
Mimi nina mdogo wangu wa kike ameolewa na mchaga! Ni familia ya wacha Mungu na maisha yao yanaendelea vizuri.
Huyo mchaga asingekuwa mcha Mungu nilishamkatia tamaa mdogo wangu.
mdogo wako kashajipata vyema?
 
Back
Top Bottom