kutokana na analysis yako hapo conclusion ni moja: it all depends on what is offered on the menu,or can we order special?
yes...</p>
<p>do that..
There is nothing special broda!
broda,ever heard that a woman is good @ multiplying @thing? give her a seed she will give u babies, give her lov,u get loads of lov back, giv her crap, u get loads of s*&t right back on ur face! tunahitaji upendo na attention tu i guess,mali na mengineyo ni ziada,like a cherry on the cake!
Muombe Mungu maisha marefu utaona kama hicho unachofikiri ndo solution kisha utanikumbuka broda!
no hard feelings bra! bt i blv sisi wanawake ni wavumilivu sana.kuna mdada unamuona anafanya mambo ya ajabu ukimuuliza why akakuambia anayopitia unaishiwa kiswahili. of coz kuna wengine ni tabia tu, na tabia haina dawa. kuishi ni kujifunza, the way i think today might nt be the same way i think 20 yrs down the lane. i am ready to learn,bt i remember the guiding principles always, and act accordingly.mm huwa najiuliza wanaume huwa wanataka nn...?
Muombe Mungu maisha marefu utaona kama hicho unachofikiri ndo solution kisha utanikumbuka broda!
Kwa umri nilionao nimekutana pia nimeona vituko vya kutosha,wako mabinti walikuwa na watu wenye hela wakaachika wengine waliolewa na maskini wakaachika,lakini wapo waliokuwa kwenye ndoa waume zao waliwajali,waliwapenda na zaidi walipewa dozi vya kutosha lakini waliachika,kumbuka wote hawa hawakuachwa na waume zao bali wao ndo waliwaacha,Justine Timbelake aliwahi kusema mabint hawajui wanachohitaji kwa mwanaume,je ni kweli??
broda,ever heard that a woman is good @ multiplying @thing? give her a seed she will give u babies, give her lov,u get loads of lov back, giv her crap, u get loads of s*&t right back on ur face! tunahitaji upendo na attention tu i guess,mali na mengineyo ni ziada,like a cherry on the cake!
Read tis book, you will find what they really want/need......!Kwa umri nilionao nimekutana pia nimeona vituko vya kutosha,wako mabinti walikuwa na watu wenye hela wakaachika wengine waliolewa na maskini wakaachika,lakini wapo waliokuwa kwenye ndoa waume zao waliwajali,waliwapenda na zaidi walipewa dozi vya kutosha lakini waliachika,kumbuka wote hawa hawakuachwa na waume zao bali wao ndo waliwaacha,Justine Timbelake aliwahi kusema mabint hawajui wanachohitaji kwa mwanaume,je ni kweli??
:a s 103:mimi sitamwacha labda niachike
hicho kilugha sikisomi kabisa:a s 103:
Wanahitaji upendo wa kweli, na sio mali kwa sababu anachokifuata kwako ni upendo wa kweli. Kama ni mali wengine wanatoka kwenye familia zenye mali kuliko huko wakaoolewa. Hakuna katika mazungumzo yako na wadada/wamama inaonekana wanachukia sana me' wao kugawa upendo kwa 'ke mwingine. Hivyo, hata kama utamjali, kumpenda na kutoa dozi vya kutosha, ukigundua kuwa unamtoa dozi kwa mwingine mambo yataanza kuyumba ndani ya nyumba yenu.