AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
Ulipo wewe ndo hawajiamini na kujitambua!!
Nwy kwa kuuliza mabinti wanahitaji nini hutopata jibu unalotaka maana mabinti hawafanani!Nnachohitaji mimi sio sawa na anachohitaji partner wangu AD au mwenzi wako....ndo maana unaona watu wengine wanakimbilia kua na mtu kwasababu ana pesa huku mwingine anakimbia...mwingine yuko na sharobaro wakati mwingine hata kusikia hataki.Hili swali huwezi kujibiwa collectively hata siku moja kwahiyo hata matokeo ya hako kautafiti kako usigeneralize!Ni sawa na unachotaka wewe kwa mwanamke ambae unadhani atafaa kua mke sii sawa na anachotaka jirani yako!
Asante...