mabint hawajui wanachohitaji kwa mwanaume,je ni kweli??
Sio Kweli... kujua kwao wanataka nini ndo kinawaondoa bada ya kukikosa....
mbona unamwita broda!na maelezo yake yanajieleza jinsia yake?
Wanawake nyie ni pasua kichwa thats why Mungu ametuambia tuishi na ninyi kwa akili,huwa hamjui mnahitaji nini,mnaweza kupewa vyote lakini mkahisi something is mising!
Wanapewa kila kitu lakini wanaondoka tu,asha usiwadifend kwa sababu tu wewe ni mwanamke,kama huamini is a matter of time then utaamini dear!
Kwa taarifa yako King'asti ukimcare sana ndo atakudharau wala kwenye apointment ndo hatokei,ukwa rud ndo afadhali kidogo,sio siri siwaelewi mabint na sio mimi tu,nimetoa mfano mmoja hapo wa Justine Timbarlake na wapo wengi tu na kuna watafiti wamesema mabint hawajui wanachohitaji kutoka kwa wanaume wengine wamesema hawahitaji kitu,hii inachanganya,kuwa mkweli utusaidie mama!!
Asha D sikia always mtu anaejua anachotaka huwa anaonekana lakini sio kwa mabint,kwenu ni tofauti sana dear,faham nina ushahidi mwingi sana wangu mimi na wa rafiki zangu zaidi ya kumi,sijui kwako wewe lakini nashindwa kuamini kama kuna binti anaejiamini na kujitambua!
Plz soma thread uelewe kisha uchangie vizuri,uliyosema hapo mabinti wanapewa lakini wanatoka nduki
kutokana na analysis yako hapo conclusion ni moja: it all depends on what is offered on the menu,or can we order special?
iAsha D namuomba Mungu uendelee kuishi utakuja kunikubali,kwanza fahamu kwenye moja ya maandiko matakatifu wanaume tumeambiwa tuishi kwa akili na ninyi wanawake,but now days ni tofauti sana mnadai haki hivyo matatizo yamezidi,huwezi kuniambia wanaume zaidi ya 50 niliojadiliana nao including me wote tuna bahati mbaya this can't be dear!
Asha D sikia always mtu anaejua anachotaka huwa anaonekana lakini sio kwa mabint,kwenu ni tofauti sana dear,faham nina ushahidi mwingi sana wangu mimi na wa rafiki zangu zaidi ya kumi,sijui kwako wewe lakini nashindwa kuamini kama kuna binti anaejiamini na kujitambua!
Plz hata wewe soma maoni yangu uyaelewe, nimesema akigundua kuwa unagawa nafasi yake kwa mtu mwingine. Hawezi kutoka nduki bila sababu, lazima kuna sababu, inaweza kuwa hiyo niliyotaja au nyingine au zote. Kwani wewe ulihitaji jibu moja tu?