Mabinti, kuna la kujifunza hapa

Kwahiyo sahivi anakaribia 40 lakini? Hakosi miaka 38
Yes ana 37 au 38 sikumbuki vzr, ila ni moja kati ya hiyo, alivyofanya birthday majuzi ndo alitaja
 
Aishi maisha yake atakua na furaha tu, sisi viumbe hatuna jema, hata akimpata huyo mtoto bado masimango yataendelea tu.

Shida ya wasanii ni kuishi maisha kufurahisha fans wao.
 
Wema asipate presha aje kwangu wala hamna presha sijui ya kuzaa mie nampenda hivo hivo akiwa mgumba
 
Mtu kapaka make up na kajua simu ilipo halafu kurekodi na kupost halafu unasema ana machungu.

Lini mara ya mwisho ulijirekodi ukiwa unalia?

Alikuwa anatafuta public sympathy huyo. Mwenye machungu hawezi kukumbuka simu na kupost mitandaoni.
 
Pole yake
Kuna watu walisema fainali uzeeni... Yaani we rukaruka kama chura ila as the time goes on.. Utatulia tuu na itakuwa too late
 
Sijajua kama ni natural au ni michezo alicheza ikaleta madhara kwenye kizazi ila kukosa mtoto kutamuadhiri sana
Amekiri kutoa ujauzito mara kadhaa mbona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…