Yes ana 37 au 38 sikumbuki vzr, ila ni moja kati ya hiyo, alivyofanya birthday majuzi ndo alitajaKwahiyo sahivi anakaribia 40 lakini? Hakosi miaka 38
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ana 37 au 38 sikumbuki vzr, ila ni moja kati ya hiyo, alivyofanya birthday majuzi ndo alitajaKwahiyo sahivi anakaribia 40 lakini? Hakosi miaka 38
September 28, 1988 mpaka 2006 aalikua na miaka ngapi 18 ndio akachukua u-miss tz inamaanisha sasa ana miaka 36Alishinda 2006, hiyo ni miaka 19 iliyopita, ili asiwe 30+ inamaanisha alishinda akiwa na miaka 11View attachment 3213847
36Yes ana 37 au 38 sikumbuki vzr, ila ni moja kati ya hiyo, alivyofanya birthday majuzi ndo alitaja
36Kwahiyo sahivi anakaribia 40 lakini? Hakosi miaka 38
Maswali mengine akaulizwe mama yakeKwahiyo sahivi anakaribia 40 lakini? Hakosi miaka 38
Stress na hasira za kukataliwa na pisi kali kisa hawana kituMbona km baadhi ya wanaume wamefurahia hbr hii kwa kukebei na wivu
Wema asipate presha aje kwangu wala hamna presha sijui ya kuzaa mie nampenda hivo hivo akiwa mgumbaNimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya maisha yake.
Sijajua hasa alikuwa specific na maumivu gani ila nakumbuka juzi ya juzi kuna on-line media interviewer alimuuliza swali kali sana na la kikatili kuhusu swala la wema kuwa na mtoto,swali ambalo wema sepetu alijikaza sana kulijibu kistaarabu ila macho na uso wake uligubikwa na huzuni mzito sana na muonekano wa aibu uliochanganyika na maumivu ya kutoneshwa hisia.
Asije akakudanganya mtu, furaha ya kila mwanamke by age 30+ ni kuwa na familia yake ya Baba,mama na watoto. Haya yasipotimia mwanamke huwa anakuwa katika msongo wa mawazo usiokwisha ambao huendelea kukua kadiri umri unavyokwenda.
Wema kama wanawake wengine anaonekana kupitia hiyo hali sasa kwasababu yupo nje ya wakati kwenye ndoa na familia. Wanafiki wanajitahidi sana kumfariji kuwa hakuna shida bado hajachelewa ila hata yeye anajua amefika kituni saa moja kasoro kupanda basi la saa kumi na moja alfajiri.
Huko juu hakutakuwa na wa kukutetea. Najua mnajifariji kuwa utakwenda nyumba ya ibada kupata rehema/neema za Muumba ili upate nafasi ila ukweli tunaojua wote kuwa kujutia sio jambo wakati wa hesabu ukifika kulipa ipo pale pale. Kama unabisha si ujaribu ujionee.
Sijui anachopitia ila najua anatamani aamke iwe ni ndoto kuwa katika wakati huu ili awe serious na kila anachoamua na kuweza kujenga njia kama wenzake ambao hawana michezo na maisha.
Baada ya kusema hayo niwatakie jioni njema na kuwasihi wale ambao bado wanaona wanaume tunawafuatilia,tunawadharau,tunawakejeli,tunawaponda waendelee hayo maisha ya kuruka ruka hovyo ili uzeeni waje kupewa hesabu ya ujanani.
Wee mbona utawapigania upande wa pili bwana. Acha kutusaliti mzeyaStress na hasira za kukataliwa na pisi kali kisa hawana kitu
Ndio ukweli huo , sinaga unafki mimi.Wee mbona utawapigania upande wa pili bwana. Acha kutusaliti mzeya
Tatizo ni moja alisherehekea birthday ya kufikisha miaka 25 kwa miaka mitatu mfululizoAlishinda 2006, hiyo ni miaka 19 iliyopita, ili asiwe 30+ inamaanisha alishinda akiwa na miaka 11View attachment 3213847