Mabinti, kuna la kujifunza hapa

Mabinti, kuna la kujifunza hapa

Zile prado na range alizokuwa anahongwa kwa kiki alisababisha mademu wakawa wanatuona hatuna maana sisi tusio na IST za kuhonga.
At least aliwapandisha molari za kutafuta ili kuondoa unyonge.

Hata hivyo hayo yalikuwa ni maisha ya U_star na wema alipata jina kubwa kabila ya kufikisha miaka 20. Kwa hiyo sometimes huwa tunasahau kuwa pengine kuna makosa aliyafanya kutokana na umri lakini pia kukosa washauri wazuri kama vile ndugu zetu wanavyopotea kwa makundi mitaani

Alikuwa ni mdogo sana sanaa
 
Nimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya maisha yake.

Sijajua hasa alikuwa specific na maumivu gani ila nakumbuka juzi ya juzi kuna on-line media interviewer alimuuliza swali kali sana na la kikatili kuhusu swala la wema kuwa na mtoto,swali ambalo wema sepetu alijikaza sana kulijibu kistaarabu ila macho na uso wake uligubikwa na huzuni mzito sana na muonekano wa aibu uliochanganyika na maumivu ya kutoneshwa hisia.

Asije akakudanganya mtu, furaha ya kila mwanamke by age 30+ ni kuwa na familia yake ya Baba,mama na watoto. Haya yasipotimia mwanamke huwa anakuwa katika msongo wa mawazo usiokwisha ambao huendelea kukua kadiri umri unavyokwenda.

Wema kama wanawake wengine anaonekana kupitia hiyo hali sasa kwasababu yupo nje ya wakati kwenye ndoa na familia. Wanafiki wanajitahidi sana kumfariji kuwa hakuna shida bado hajachelewa ila hata yeye anajua amefika kituni saa moja kasoro kupanda basi la saa kumi na moja alfajiri.

Huko juu hakutakuwa na wa kukutetea. Najua mnajifariji kuwa utakwenda nyumba ya ibada kupata rehema/neema za Muumba ili upate nafasi ila ukweli tunaojua wote kuwa kujutia sio jambo wakati wa hesabu ukifika kulipa ipo pale pale. Kama unabisha si ujaribu ujionee.

Sijui anachopitia ila najua anatamani aamke iwe ni ndoto kuwa katika wakati huu ili awe serious na kila anachoamua na kuweza kujenga njia kama wenzake ambao hawana michezo na maisha.

Baada ya kusema hayo niwatakie jioni njema na kuwasihi wale ambao bado wanaona wanaume tunawafuatilia,tunawadharau,tunawakejeli,tunawaponda waendelee hayo maisha ya kuruka ruka hovyo ili uzeeni waje kupewa hesabu ya ujanani.
Uzuri ni kwamba receipts zote zitatunzwa, wao waendelee kujiachia tuu
 
Akome 😂
Wanawake wakiwa warembo na wana pesa hua wanajisahau sana
Wema ni kielelezo kizuri sana kwa wanawake warembo, ilikua huwezi kuskiliza radio siku ikaisha bila kutajwa jina lake, hawa wasanii wakubwa waliwekwa bize sana na wema ila siku zimepita sasa na mambo yamebadilika jina lake imekua ni nadra sana kuliskia na ni kama wanaume wamempotezea flani hivi
 
Kama anahela inatosha mapenzi atanunua, wakimtukana awashtaki. Bado yuko mrembo
 
Nimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya maisha yake.

Sijajua hasa alikuwa specific na maumivu gani ila nakumbuka juzi ya juzi kuna on-line media interviewer alimuuliza swali kali sana na la kikatili kuhusu swala la wema kuwa na mtoto,swali ambalo wema sepetu alijikaza sana kulijibu kistaarabu ila macho na uso wake uligubikwa na huzuni mzito sana na muonekano wa aibu uliochanganyika na maumivu ya kutoneshwa hisia.

Asije akakudanganya mtu, furaha ya kila mwanamke by age 30+ ni kuwa na familia yake ya Baba,mama na watoto. Haya yasipotimia mwanamke huwa anakuwa katika msongo wa mawazo usiokwisha ambao huendelea kukua kadiri umri unavyokwenda.

Wema kama wanawake wengine anaonekana kupitia hiyo hali sasa kwasababu yupo nje ya wakati kwenye ndoa na familia. Wanafiki wanajitahidi sana kumfariji kuwa hakuna shida bado hajachelewa ila hata yeye anajua amefika kituni saa moja kasoro kupanda basi la saa kumi na moja alfajiri.

Huko juu hakutakuwa na wa kukutetea. Najua mnajifariji kuwa utakwenda nyumba ya ibada kupata rehema/neema za Muumba ili upate nafasi ila ukweli tunaojua wote kuwa kujutia sio jambo wakati wa hesabu ukifika kulipa ipo pale pale. Kama unabisha si ujaribu ujionee.

Sijui anachopitia ila najua anatamani aamke iwe ni ndoto kuwa katika wakati huu ili awe serious na kila anachoamua na kuweza kujenga njia kama wenzake ambao hawana michezo na maisha.

Baada ya kusema hayo niwatakie jioni njema na kuwasihi wale ambao bado wanaona wanaume tunawafuatilia,tunawadharau,tunawakejeli,tunawaponda waendelee hayo maisha ya kuruka ruka hovyo ili uzeeni waje kupewa hesabu ya ujanani.
Sass hata hiyo "k" yako Si itakuwa mdebwedo imeishatembea kilometers zaidi ya trillion!
 
Kama alikiri kutoa mimba kadhaa, kwanini mamlaka hazijamchukulia hatua nahuku ni kosa kisheria?
 
Wakati anashinda Miss alikua na umri gani?
Alishinda 2006, hiyo ni miaka 19 iliyopita, ili asiwe 30+ inamaanisha alishinda akiwa na miaka 11
1000021285.jpg
 
Back
Top Bottom