Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawaamefika kituoni saa moja kasoro asubuhi kupanda basi la saa kumi na moja alfajiri.
30+ hajafika 40Wema Sepetu yuko kwenye 30 au 40? Maana nimeanza kumsikia kitambo sana, ila Asijali hiyo ni mitihani tu ya dunia asikate tamaa
Tutampandikiza mimbaNdo mnavyojidanganya?? Wanaume mnapenda sana kutusemea wakati wenyewe tumetulia..!!
Ndio ndio behind the sceneYote maigizo tu haya apate trend.
At least aliwapandisha molari za kutafuta ili kuondoa unyonge.Zile prado na range alizokuwa anahongwa kwa kiki alisababisha mademu wakawa wanatuona hatuna maana sisi tusio na IST za kuhonga.
Uzuri ni kwamba receipts zote zitatunzwa, wao waendelee kujiachia tuuNimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya maisha yake.
Sijajua hasa alikuwa specific na maumivu gani ila nakumbuka juzi ya juzi kuna on-line media interviewer alimuuliza swali kali sana na la kikatili kuhusu swala la wema kuwa na mtoto,swali ambalo wema sepetu alijikaza sana kulijibu kistaarabu ila macho na uso wake uligubikwa na huzuni mzito sana na muonekano wa aibu uliochanganyika na maumivu ya kutoneshwa hisia.
Asije akakudanganya mtu, furaha ya kila mwanamke by age 30+ ni kuwa na familia yake ya Baba,mama na watoto. Haya yasipotimia mwanamke huwa anakuwa katika msongo wa mawazo usiokwisha ambao huendelea kukua kadiri umri unavyokwenda.
Wema kama wanawake wengine anaonekana kupitia hiyo hali sasa kwasababu yupo nje ya wakati kwenye ndoa na familia. Wanafiki wanajitahidi sana kumfariji kuwa hakuna shida bado hajachelewa ila hata yeye anajua amefika kituni saa moja kasoro kupanda basi la saa kumi na moja alfajiri.
Huko juu hakutakuwa na wa kukutetea. Najua mnajifariji kuwa utakwenda nyumba ya ibada kupata rehema/neema za Muumba ili upate nafasi ila ukweli tunaojua wote kuwa kujutia sio jambo wakati wa hesabu ukifika kulipa ipo pale pale. Kama unabisha si ujaribu ujionee.
Sijui anachopitia ila najua anatamani aamke iwe ni ndoto kuwa katika wakati huu ili awe serious na kila anachoamua na kuweza kujenga njia kama wenzake ambao hawana michezo na maisha.
Baada ya kusema hayo niwatakie jioni njema na kuwasihi wale ambao bado wanaona wanaume tunawafuatilia,tunawadharau,tunawakejeli,tunawaponda waendelee hayo maisha ya kuruka ruka hovyo ili uzeeni waje kupewa hesabu ya ujanani.
Ana miaka 37 kama siyo 38Wema Sepetu yuko kwenye 30 au 40? Maana nimeanza kumsikia kitambo sana, ila Asijali hiyo ni mitihani tu ya dunia asikate tamaa
Wema ni kielelezo kizuri sana kwa wanawake warembo, ilikua huwezi kuskiliza radio siku ikaisha bila kutajwa jina lake, hawa wasanii wakubwa waliwekwa bize sana na wema ila siku zimepita sasa na mambo yamebadilika jina lake imekua ni nadra sana kuliskia na ni kama wanaume wamempotezea flani hiviAkome 😂
Wanawake wakiwa warembo na wana pesa hua wanajisahau sana
Wakati anashinda Miss alikua na umri gani?30+ hajafika 40
Sass hata hiyo "k" yako Si itakuwa mdebwedo imeishatembea kilometers zaidi ya trillion!Nimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya maisha yake.
Sijajua hasa alikuwa specific na maumivu gani ila nakumbuka juzi ya juzi kuna on-line media interviewer alimuuliza swali kali sana na la kikatili kuhusu swala la wema kuwa na mtoto,swali ambalo wema sepetu alijikaza sana kulijibu kistaarabu ila macho na uso wake uligubikwa na huzuni mzito sana na muonekano wa aibu uliochanganyika na maumivu ya kutoneshwa hisia.
Asije akakudanganya mtu, furaha ya kila mwanamke by age 30+ ni kuwa na familia yake ya Baba,mama na watoto. Haya yasipotimia mwanamke huwa anakuwa katika msongo wa mawazo usiokwisha ambao huendelea kukua kadiri umri unavyokwenda.
Wema kama wanawake wengine anaonekana kupitia hiyo hali sasa kwasababu yupo nje ya wakati kwenye ndoa na familia. Wanafiki wanajitahidi sana kumfariji kuwa hakuna shida bado hajachelewa ila hata yeye anajua amefika kituni saa moja kasoro kupanda basi la saa kumi na moja alfajiri.
Huko juu hakutakuwa na wa kukutetea. Najua mnajifariji kuwa utakwenda nyumba ya ibada kupata rehema/neema za Muumba ili upate nafasi ila ukweli tunaojua wote kuwa kujutia sio jambo wakati wa hesabu ukifika kulipa ipo pale pale. Kama unabisha si ujaribu ujionee.
Sijui anachopitia ila najua anatamani aamke iwe ni ndoto kuwa katika wakati huu ili awe serious na kila anachoamua na kuweza kujenga njia kama wenzake ambao hawana michezo na maisha.
Baada ya kusema hayo niwatakie jioni njema na kuwasihi wale ambao bado wanaona wanaume tunawafuatilia,tunawadharau,tunawakejeli,tunawaponda waendelee hayo maisha ya kuruka ruka hovyo ili uzeeni waje kupewa hesabu ya ujanani.
Alikua km hivi vitoto vya 2000 enzi hizo yupo moto balaaWakati anashinda Miss alikua na umri gani?
Mtoto wangu usitoe mimba bora uwe single motherFundishen watoto wenu wa kike kuhusu maswala ya uzaz kuepuka kutoa toa mimba ovyo
Kwahiyo sahivi anakaribia 40 lakini? Hakosi miaka 38Alikua km hivi vitoto vya 2000 enzi hizo yupo moto balaa
Alishinda 2006, hiyo ni miaka 19 iliyopita, ili asiwe 30+ inamaanisha alishinda akiwa na miaka 11Wakati anashinda Miss alikua na umri gani?