Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Huku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .

Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.
 
Yani unaweza kukutana na mdogo wako ukampa shikamoo..
 
Mabint wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa,wengi wao hawana kipato cha uhakika,hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
Kwa hiyo watu hawaogopi miaka 30?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…