Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Akili zao zinawaza Hapa karibu .
Hawana mawazo ya mbele wapowapo tu duh hata ukiwashaur chochote wanakuona lofaaa
Hawana mawazo ya mbele wapowapo tu duh hata ukiwashaur chochote wanakuona lofaaa
Kuna mmoja anasoma Chuo cha hotel ana 19 nadate nae najitahidi kumhudumia ila Pasua kichwa nataka nimwache ili akutane na wahuni anaowataka wamtie mimba aishi anavyotaka