agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
- Thread starter
- #61
Kuna siku nilipanda bajaji na wanafunzi story walizokuwa wanaongea aibu niliona mimi.Acha tuu mkuu,yaani adi unashangaa kwamba huyu kumbe anasoma shule asubuhi ..jioni na skin zao kutafuta maisha ya raha na boda boda wanavitumbua