Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Hakuna anayewadanganya ni mabadiliko ya kawaida kuendana na wakati, tatizo wazazi/walezi wengi tumeshindwa kuwafundisha wanetu namna ya kuishi wakati uliopo na ujao. (Japo kuna watoto wengine ni vichomi tu hata ufanyeje)

"Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokua mzee." Mithali 22 : 6.
 
Huku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .

Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.
Kuna mmoja anasoma Chuo cha hotel ana 19 nadate nae najitahidi kumhudumia ila Pasua kichwa nataka nimwache ili akutane na wahuni anaowataka wamtie mimba aishi anavyotaka
 
Kuna mmoja anasoma Chuo cha hotel ana 19 nadate nae najitahidi kumhudumia ila Pasua kichwa nataka nimwache ili akutane na wahuni anaowataka wamtie mimba aishi anavyotaka
Jitahidi kumpa elimu tusiongeze idadi ya watoto wa mtaani.
 
Back
Top Bottom