Malezi tu sio mazuri watu tumekulia kwenye maisha ya kawaida sana, ila mtu akianza maisha anajifanya anaenda na wakati hivyo anashindwa kulea vizuri watotoMkuu naamini hili tatizo linaanzia kwenye Familia zetu asilimia chanzo kinaanzia huku, Umaskini unachangia pia, Utandawazi, wazazi kutokuwa na mfumo wa kuwajenga watoto wenye hofu na Mungu.
Na chamoto wanakipata, mwishowe mtoto naye anazaa mtoto mwenzie nako kanapata wajukuu mapemaKuna makungwi wao mitaan wakiwapa ujinga wazae mapema ili baadae waringishie watoto social media na kujitapa raha ya kuzaa mapema
Ibada njema huanzia nyumbaniKweli kabisa, ukiwa maskini alafu unawatoto wa kike wasiomjua Mungu lazima uhesabu maumivu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alivyochoka au unamaanisha niniHuku mtaa niliopo mm ni shida hadi mda mwingine nabaki nikishangaa.... Kuna watoto wadogo sana wameolewa mtoto ana miaka 15 ni sawa na mwanamke mwenye umri wa miaka 65
Sio kuachika hajawahi olewa kazalishwa tu hapo kwa Baba yake baadaye eti naye kungwi mie hata sitaki kusikia hizo habariUkiangalia kungwi nae kaachika
Nimekaa na binti wa miaka 22 anasema huu mwaka hauwezi kuisha kabla hajabeba mimba and I was like wtf!? Kisa eti anaona umri unaenda bora azae kwanza
Mimi dada yake kikongwe hata kuzaa haipo kwenye ramani nimeshangaa mtoto wa 22 anasema kachelewa [emoji28]
Ukiangalia kungwi nae kaachika
Huku mtaa niliopo mm ni shida hadi mda mwingine nabaki nikishangaa.... Kuna watoto wadogo sana wameolewa mtoto ana miaka 15 ni sawa na mwanamke mwenye umri wa miaka 65
Mabaharia nn?[emoji23][emoji23][emoji23]Alafu ukiangalia walio wapa Mimba huwa nachoka kabisaaa
Mmmm
Cha msingi awe amemaliza la saba ama namna gani baharia?[emoji3][emoji3]Wabichiwabichi,majeshi yangu yote nimehamishia kwao
Halafu wao ndiyo wanazeeka wahenga wa miaka tunadunda to mtu ukimwambia umri wako anakaa chini mbona hauzeeki [emoji23][emoji23]Hawa watoto ndiyo wanafanya kila siku tuulizwe "utazaa lini? Hauoni unazeeka"[emoji23][emoji23][emoji23]
Pia wazazi wanahusika sana kwenye malezi hawapo makini na malezi mtu anakuja shituka tayari mtoto huko chini kupo kama kindoo tunsjisahsu sana
Ila wewe bhna [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nashangaa sana.... Yaani sie wakubwa zao hatuna mpango wa kuzaa, wao sasa doooh [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Acha alama ya ukumbusho mkuu.Kuna mmoja anasoma Chuo cha hotel ana 19 nadate nae najitahidi kumhudumia ila Pasua kichwa nataka nimwache ili akutane na wahuni anaowataka wamtie mimba aishi anavyotaka
Umasikini uliotukuka ,wengi wanaponzwa na njaa ,hali duni ya maisha waliyonayo ndio chanzo ,kipindi hiki wanaume wangi wamezikabidhi familia zao na kuwaacha wakitangatangaMabint wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa,wengi wao hawana kipato cha uhakika,hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
Kuna Saloon moja hivi wasaidizi wake mwenyewe huyo kuna binti kamaliza mwaka jana form four, mtoto anabeba njema mie na uhenga wangu siwezi mie nilichoka, mwenzie ana mtoto lakini kutwa kubadilisha mabwana halafu analalamika wanaume wabaya mmmmMkuu zunguka ujionee
Ndiyo hapo sasa ukoo wa panya, kuna binti ana mtoto, tabia zake nikauliza mazingira ya kwao, duu mama yake alikuwa house girl kapewa mimba na Baba mwenye nyumba akapangishiwa nyumba baadaye kajengewa mabanda ya uwani, mwishowe kafa mama kabaki na watoto maisha yake ndiyo hayo watoto nao wanazaa tu hivyoMalezi si ndohayo ya mtoto kuzaa mtoto unadhani atakua saangapi anamfa wa kumkanya mtoto wake mwisho wa siku ndohaya
Kuna Saloon moja hivi wasaidizi wake mwenyewe huyo kuna binti kamaliza mwaka jana form four, mtoto anabeba njema mie na uhenga wangu siwezi mie nilichoka, mwenzie ana mtoto lakini kutwa kubadilisha mabwana halafu analalamika wanaume wabaya mmmm