Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Mkuu naamini hili tatizo linaanzia kwenye Familia zetu asilimia chanzo kinaanzia huku, Umaskini unachangia pia, Utandawazi, wazazi kutokuwa na mfumo wa kuwajenga watoto wenye hofu na Mungu.
Malezi tu sio mazuri watu tumekulia kwenye maisha ya kawaida sana, ila mtu akianza maisha anajifanya anaenda na wakati hivyo anashindwa kulea vizuri watoto
 
Huku mtaa niliopo mm ni shida hadi mda mwingine nabaki nikishangaa.... Kuna watoto wadogo sana wameolewa mtoto ana miaka 15 ni sawa na mwanamke mwenye umri wa miaka 65
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alivyochoka au unamaanisha nini
 
Nimekaa na binti wa miaka 22 anasema huu mwaka hauwezi kuisha kabla hajabeba mimba and I was like wtf!? Kisa eti anaona umri unaenda bora azae kwanza
Mimi dada yake kikongwe hata kuzaa haipo kwenye ramani nimeshangaa mtoto wa 22 anasema kachelewa [emoji28]

Hii mentality mbaya sana
 
Mabint wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa,wengi wao hawana kipato cha uhakika,hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
Umasikini uliotukuka ,wengi wanaponzwa na njaa ,hali duni ya maisha waliyonayo ndio chanzo ,kipindi hiki wanaume wangi wamezikabidhi familia zao na kuwaacha wakitangatanga
 
Mkuu zunguka ujionee
Kuna Saloon moja hivi wasaidizi wake mwenyewe huyo kuna binti kamaliza mwaka jana form four, mtoto anabeba njema mie na uhenga wangu siwezi mie nilichoka, mwenzie ana mtoto lakini kutwa kubadilisha mabwana halafu analalamika wanaume wabaya mmmm
 
Malezi si ndohayo ya mtoto kuzaa mtoto unadhani atakua saangapi anamfa wa kumkanya mtoto wake mwisho wa siku ndohaya
Ndiyo hapo sasa ukoo wa panya, kuna binti ana mtoto, tabia zake nikauliza mazingira ya kwao, duu mama yake alikuwa house girl kapewa mimba na Baba mwenye nyumba akapangishiwa nyumba baadaye kajengewa mabanda ya uwani, mwishowe kafa mama kabaki na watoto maisha yake ndiyo hayo watoto nao wanazaa tu hivyo
 
Back
Top Bottom