Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Yuko sahihi kabisa
 
Wanajiita somo. Nimeshangaa juzi juzi.. mtu anajiita somo wkt yeye ni kaachika. Nikasema hii ndoa sijui kama itadumu. Maana alimfunda mke jinsi ya kukaa na mume ni single mother.. yaan na yeye kaachika.
Sio kuachika hajawahi olewa kazalishwa tu hapo kwa Baba yake baadaye eti naye kungwi mie hata sitaki kusikia hizo habari
 
Tamaa
Maadili mabovu

Kuna siku dogo wa 11 kanivutia waya anaongea mambo meusi kuliko dada yake.
Hadi shule kikatoroka
Nilikatukana kakaniogopa
 
Kichaa huyo pesa anazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…