Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Ndio wadogo zenu. Sema sikuiz haya mambo ya haki sawa. Watoto wanajiona kama vile watu qazima. Wakishaumia ndio wanapata akili.

Lazima turudie style ya malezi za zamani. Usiache kumpa mtoto mapigo. Muweke mbali na utandawaz maana hup ndio unaharib watu
Mm hivi vitoto hata ukivipa ushauri vinakuwa vikali kama nn
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Nashangaa sana.... Yaani sie wakubwa zao hatuna mpango wa kuzaa, wao sasa doooh [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]

Nimekaa na binti wa miaka 22 anasema huu mwaka hauwezi kuisha kabla hajabeba mimba and I was like wtf!? Kisa eti anaona umri unaenda bora azae kwanza
Mimi dada yake kikongwe hata kuzaa haipo kwenye ramani nimeshangaa mtoto wa 22 anasema kachelewa [emoji28]
 
Tena wanaongea bila uoga
 
Wanatia huruma kweli yani yupo dogo ni 18 kamili ana mtoto tayari,anajipendekeza nimuoe basi namuonea huruma kweli ila namjali tu asijione kutengwa ila kumuoa no
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…