Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Ndio wadogo zenu. Sema sikuiz haya mambo ya haki sawa. Watoto wanajiona kama vile watu qazima. Wakishaumia ndio wanapata akili.

Lazima turudie style ya malezi za zamani. Usiache kumpa mtoto mapigo. Muweke mbali na utandawaz maana hup ndio unaharib watu
Mm hivi vitoto hata ukivipa ushauri vinakuwa vikali kama nn
 
Yani mkuu ni shida mi ninae mmoja ,kuna siku nikamuita sehemu aje anywe hata soda ,akaniuliza wewe unakunywa nn nikamwambia bia,wee alinitukana balaa sitaki mwanaume mlevi sijui nini,nikamwambia hela natafuta Kwa nguvu zangu basi achana na Mimi,akaa kimya,kesho ananitumia msg baby Nina njaa hostel hakuna kitu nisamehe mpenzi wangu,nikamwambia fala wewe utakufa njaa unajifanya mjuaji kumbe unanuka njaa ,njoo nikufanyie shopping ya msoc ukale hostel huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Nashangaa sana.... Yaani sie wakubwa zao hatuna mpango wa kuzaa, wao sasa doooh [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]

Nimekaa na binti wa miaka 22 anasema huu mwaka hauwezi kuisha kabla hajabeba mimba and I was like wtf!? Kisa eti anaona umri unaenda bora azae kwanza
Mimi dada yake kikongwe hata kuzaa haipo kwenye ramani nimeshangaa mtoto wa 22 anasema kachelewa [emoji28]
 
Tena wanaongea bila uoga
 
Wanatia huruma kweli yani yupo dogo ni 18 kamili ana mtoto tayari,anajipendekeza nimuoe basi namuonea huruma kweli ila namjali tu asijione kutengwa ila kumuoa no
 
Back
Top Bottom