Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Hakuna ukweli hapo!Ni utani unaendana na ukweli 😃😃😃😃
Siwezi kuwa na kitoto kidogo mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ukweli hapo!Ni utani unaendana na ukweli 😃😃😃😃
Mm hivi vitoto hata ukivipa ushauri vinakuwa vikali kama nn
Kuna makungwi wao mitaan wakiwapa ujinga wazae mapema ili baadae waringishie watoto social media na kujitapa raha ya kuzaa mapema
Kama ni kweli ubarikiwe sanaHakuna ukweli hapo!
Siwezi kuwa na kitoto kidogo mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115]Yani mkuu ni shida mi ninae mmoja ,kuna siku nikamuita sehemu aje anywe hata soda ,akaniuliza wewe unakunywa nn nikamwambia bia,wee alinitukana balaa sitaki mwanaume mlevi sijui nini,nikamwambia hela natafuta Kwa nguvu zangu basi achana na Mimi,akaa kimya,kesho ananitumia msg baby Nina njaa hostel hakuna kitu nisamehe mpenzi wangu,nikamwambia fala wewe utakufa njaa unajifanya mjuaji kumbe unanuka njaa ,njoo nikufanyie shopping ya msoc ukale hostel huko
That means you dont believe what I am writing. There is no way I can narrate betterKama ni kweli ubarikiwe sana
chips na sodaMabint wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa,wengi wao hawana kipato cha uhakika,hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
Nashangaa sana.... Yaani sie wakubwa zao hatuna mpango wa kuzaa, wao sasa doooh [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
HahaaaUkiangalia kungwi nae kaachika
Basi dunia yako imeendeleaDah! Mimi sijakutana nao hao wadada .....
Tena wanaongea bila uogaNimekaa na binti wa miaka 22 anasema huu mwaka hauwezi kuisha kabla hajabeba mimba and I was like wtf!? Kisa eti anaona umri unaenda bora azae kwanza
Mimi dada yake kikongwe hata kuzaa haipo kwenye ramani nimeshangaa mtoto wa 22 anasema kachelewa [emoji28]
Duu2000s hawajui kuua wanajua kuzaa. 1993s Wabobevu katika suala la kuua (kutoa mimba)
nyege nyegeWanaowapa wana vinini nini!??
Hahaaa
Why usimwambie ukweli huyo binti hii dhambi itakurudia kwa binti zako.Wanatia huruma kweli yani yupo dogo ni 18 kamili ana mtoto tayari,anajipendekeza nimuoe basi namuonea huruma kweli ila namjali tu asijione kutengwa ila kumuoa no
Dhambi gani??Why usimwambie ukweli huyo binti hii dhambi itakurudia kwa binti zako.
Dhambi ya kumchezea binti wa watu hana malengo nae ya kumuoa.Dhambi gani??