Mabinti nao kumbe ving'ang'anizi......!!!!

Mabinti nao kumbe ving'ang'anizi......!!!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
745
Reaction score
23
Mambo ni aje wana JF!!!
Zamani wakati nakua na kujua Mapenzi nilidhani Wanaume peke yetu ndo ving'ang'anizi hata binti akikuambia hakutaki unakomaa nae hadi kieleweke lakini siku hizi Mabinti ni balaa unamwambia humtaki still anataka awe na wewe!!!!

Hivi hii ndo Haki sawa kwa wote au ndo mambo dunia ya sasa!!!!
 
siku hizi wana ujasiri chaliangu!
na wanatoa kweli.juzi nilikua chuo flani mwanza, nikatongozwa live.
af mwanamke akikataa hua anaonekana mwadilif, ila mwanaume akikataa
huonekana kama mwoga au mshamba, au weak.
 
me apenda wewe..ajua una....bt i do lav u ..UTANSAIDIAJE SASA LABDA?
 
Dah mnamaudhi nyie viumbe wa kiume nyie. Yani tukikubali mnatudharau, tukikataa mnatuheshimu, sasa kwa nini mnatuganda?
 
Na hawa ving`ang`nizi ni wabaya kaa chonjo akipata mimba tu unae milele huyo.

Kunamdada kazaa na jamaa ameng`ang`ania ukweni hatoki na jamaa kisha mfukuza kashindwa kaamua kuhama makazi .
 
Hapo nakuunga mkono chalii yangu,
hiyo ilinitokea dada alionesha nia zote na matendo yote lakini nikawa sina mpango
akawa anawahadthia wenzie kuwa nina AIBU sn siwez kutongoza et!!!

Back
Top Bottom