Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize!wewe tunda hujaomba?
wewe tunda hujaomba?
Muulize!
Sasa ulitaka upewe bure, usione vyaelea kaka, vimeundwa.
samaki wakasirikaNyie wenyewe hata siku mbili hazipiti mnataka mambo ya kikubwa.
Hawajakasirika... wanampa majibu. si ndio alikua anataka?samaki wakasirika
Yani unakuta demu umemtongoza tu hata wiki bado,mara anaanza kuomba vocha,mara hela ya kusuka,jamani yani ndio umenikubalia tu na hayo ndo yanaanza? Hii ikoje jamani?
Nyie wenyewe hata siku mbili hazipiti mnataka mambo ya kikubwa.
Huu ni msemo wa mwaka! No money no honey, sio?No money no honey....