Taured
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 805
- 684
Shauri yako hao ndo kabisa majanga utapandwa kichwaniBora twende mbeya kwa wanyakyusa. Case zao ni chache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shauri yako hao ndo kabisa majanga utapandwa kichwaniBora twende mbeya kwa wanyakyusa. Case zao ni chache
Wamasai.. kwa niliobahatika juana nao ni ❤️Aisee..
Mbona nasikia wamasai wanafaa ni vile tu hawana antenna?!
Wanajipanga na mabomu ya nyukilia kuja kushambulia hili shambulio siyo la kawaidaNgoja waje uone balaa lake.
Hivo tatizo siyo kabila,tatizo ni tabia ya MTU mwenyeweNakazia hawajui wanyia huyo mpe ABCD
Bora huko wao mazingira ndio yanawabadilisha, kule kaskazini hii kitu ipo kwenye DNA[emoji15]utarudi unalia,I promise you.Mambo haya hayana formula... Ukibahatika unakuwa umebahatika na ukikosa unakuwa umekosa
Sidhani. Pengine labda career yake imemfunza vingine… ni nesi-mkungaMjanja huyo anajificha.
Hapo mlengwa ni Moshi, Arusha nimesimgizia tu kidogoAisee..
Mbona nasikia wamasai wanafaa ni vile tu hawana antenna?!
Unadhani watakuelewa kwenye hili basi?Hivo tatizo siyo kabila,tatizo ni tabia ya MTU mwenyewe
🤣🤣🤣🤣🤸♂❤️Depal hana shida hizo, ni binti mrembo na mwenye akili sana. She's down to earth
Mahusiano ni changamoto sana sikuhizi....kheri tuishi single eti?Bora huko wao mazingira ndio yanawabadilisha, kule kaskazini hii kitu ipo kwenye DNA
Ni suala la muda watakujaWanajipanga na mabomu ya nyukilia kuja kushambulia hili shambulio siyo la kawaida
Katika yote tuliyonadili hapo umeamua kuja na hili? Alafu mimi unanijulia wapi na lini?Watu hujifunza kutokana na makosa, hongera Mkuu kuweza kumove on.
Manake nasikia hata shemeji yetu aliyekuwa anakupiga matukio anatokea mojawapo wa maeneo hayo.
Mi mwenyewe nimechoka nayo haya mambo aisee,unajikuta tu automatically huamini mtuUnadhani watakuelewa kwenye hili basi?
Nafanya kazi Kaskazini , na ninaelewa ulichosema, ni kweli kabisa, hawafaiKijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa