Kuna tabia zipo kwenye mifumo ya malezi ndio maana vijana tofauti wanaongelea experience moja as if wameoa mke m'moja kumbe ni wanawake tofauti wa jamii tofauti.Hivo tatizo siyo kabila,tatizo ni tabia ya MTU mwenyewe
Binti wa kimeru alishawahi kuwa rafiki sana chuo sana wanapenda sna kucheka..wameru ni kabila dogo sana wako kwenye tarafa km 3 tu hawajazi hata wilaya moja. Kweli hawatoki na hawazai sana ndiyo maana wachache sana. Siyo watu wa kujichanhanya na watanzania. Wanawake zao ni hatari usijaribu kuoa utajuta.
Acha Uboya wewe niite Ngoshi wane 😂😂😂Mazziyaaaahh
Hahaha mambo yasiwe mengi[emoji23][emoji23]Me huwa nawachana live kuwa kama huu uhusiano kwako hauwezi kwenda bila pesa basi pita hivi.
Jiandae watoto wako kuwaita Gwalugano, Lugano, Ipyana, Asukile, Sekela na mengineyo...........yenye asili ya Kinyaki kama Mponjoli Au Tusekelege usipokuwa Ngangari.Bora twende mbeya kwa wanyakyusa. Case zao ni chache
hao nawafahamu sana mara yangu ya kwanza kuwaona sikujua kama arusha kuna wameru mi nilijua arusha ni wamasai kwa wingi ,ila niligundua kitu hilo kabila hawazunguki nje ya mkoa na hata wanaotoka wanajitambulisha kama wachaga au wamasai kwani hawajiamini kutokana na historia ya kabila lao unambiwa ukikutana na mmeru na nyoka uwa mmeru acha nyokawameru ni kabila dogo sana wako kwenye tarafa km 3 tu hawajazi hata wilaya moja. Kweli hawatoki na hawazai sana ndiyo maana wachache sana. Siyo watu wa kujichanhanya na watanzania. Wanawake zao ni hatari usijaribu kuoa utajuta.
Nakupenda bila malipo.Hivo tatizo siyo kabila,tatizo ni tabia ya MTU mwenyewe
Huu ni ukweli mtupu, maana Nina ndugu kamuoa mchagga, aisee anaendeshwa mpaka kwenye Mali zake.Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Wanawake wa kinyakyusa wanapenda chini kwa asilimia kubwa, magonjwa kama yote.Bora twende mbeya kwa wanyakyusa. Case zao ni chache
Kule unaweza kutana na pisi kali yaani bonge la manzi inauza mitumba, inauza maandazi, inauza mboga mboga, ipo sokoni inapambana kutafuta 5000 per day. Ukienda sehemu anaishi vingunguti ni masaki.Nafanya kazi Kaskazini , na ninaelewa ulichosema, ninkweli kabisa, hawafai
Hujakutana nao ndio maana unajitetea hapa.Ukweli ni kwamba hapo mlengwa ni Kilimanjaro, Arusha nimewasingizia tu kidogo
Wakati nyie wenyewe mnatoka nduki siku hizi mnaenda kuoa hadi wamakonde hamna time na hap dada zenu.Tuachieni dada zetu tutawaoa wenyewe, mmekaa kilege lege kama mashoga hamuwezi wanawake wa chuma
Nilikutana na moja ya kimeru hiyo demu nilipoonyesha interest tu akaona huyu fala amenielewa atafanya ninachotaka.hasa wameru ni hatari sana
Wanaongoza kuolewa kimkakati sio ile ndoa ya mapenzi ya kujenga familia ni ndoa ya kuchuma mali kisha vita vianze.Twende mbele turudi nyuma
Hao hao mabinti wa kaskazini wanaongoza kuolewa tena kwa sherehe kubwa za gharama
Kabla ya kuendelea kuwashambulia, mabinti wengine wajifunze mazuri ya hawa mabinti wa kaskazini na yale mabaya wayaache
Hata ww mtoa mada una mazuri yako na mabaya yako
Tamaa. Wanaamini muda wote wanatakiwa kuwa na pesa ili kuishi vizuri na hiyo pesa ashike yeye. Ukitaka jua hawajielewi tazama matumizi yao ndipo utajua hizi ni ng'ombe kama ng'ombe zingine tu.Huwa wana nini hawa kwenye pesa?
Tufahamiane mzee...mimi nipo kibongotoMimi Ambaye Nipo Kaskazini Nimeoa Na Watoto Tele Hapo Sanya Juu, Lawate, Fuka
Nivunje Ndoa Ama Nivumilie
Mmmmmmhmn ngumu kuamini. Yaani nyie mkitulia ni kama simba aliyeshiba. Anaweza cheza hata na mtoto bila kumdhuru. Subiri njaa ije anaweza kula hata chuma kwa hasira ndio ninyi sasa namna huwa mnabadilika ghafla pale mnapoanza shida za pesaSi wote jamani wengine hatupo hivyo
Kwani akitaka ashike lazima umpe?Tamaa. Wanaamini muda wote wanatakiwa kuwa na pesa ili kuishi vizuri na hiyo pesa ashike yeye. Ukitaka jua hawajielewi tazama matumizi yao ndipo utajua hizi ni ng'ombe kama ng'ombe zingine tu.