Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Wadhani nakudanganya? Unakaa na mtu anataka awe anaigiza pesa saa kila siku. Ukikaa nae unajiuliza huyu hii speed ya kutafuta pesa anachelewa wapi au amerithi madeni ya ukoo?

Yaani mtu ana muda wa mahaba na mpenzi wake wala kukaa kuwa na ile quality time na familia yake yeye kichwa ni kina race na fikra za kukamata pesa tu hakuna lingine. Akilala ni anawaza pesa ukikaa nae akisikia unachambua noti anajichekesha chekesha au kukuwekea ile sura ya mahaba.

Muda wote yeye anawaza pesa hawezi kukupigia muongee maswala yenu ya kihisia au kukuuliza siku yako inaendaje au kukupa mchapo wa umbea au story hizo hawana wao ni alikupigia ni kukwambia umtumie pesa ya hiki au kile. Ukijitoa umpatie say 50,000 utaona umetoa pesa ya kutosha bila aibu utaona anakuomba nyingine yaani kukupa tu taarifa kuwa hiyo umempatia haitoshi kwake anataka zaidi.

Akishika laki atataka milioni, akishika milioni atataka zaidi. Sasa huyu ni mwanamke ambaye utasema naoa nikafurahie maisha ya ndoa. Kwani nikiwa mwenyewe hizo pesa sitaweza kuzitafuta hadi yeye awepo?!

Hapo ndipo huwa nawashangaa sana watu wanaosema hawa ndio wanawake wa kuoa sijui wanawaza kutafuta pesa , itakusaidia nini kama mwanaume kuwa na mwanamke ambaye anatamaa ya pesa zaidi ya kukuletea mikosi ya stress na kukuweka mazingira mabaya ya kiafya sababu ya kukimbizana na utafutaji wa pesa kama kichaa ukakosa hata muda wa kutulia kuenjoy maisha.

Ndio maana wazee wa hizo kanda wengi wanawahi kudedi sababu ya kuamini kuwa namna ya kuwafurahisha hawa wanawake wa hizo kanda ni kwa kupambana masaa yote na hela zenyewe hawazifaidi. Ufala tu.

Mimi hunipelekeshi kis*ng* s*ng* ,kama unaona pesa ni muhimu fungua mlango pita vile nenda kakae na hao wenzako waliokuja Duniani kutafuta hela masaa yote kama Unajua kuna kuishi na kufurahia maisha kalisha hapo huo mwili wako wenye matako kama ya "GRU" wa kwenye movie ya animation ya "Despicable Me".[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚pole sana...ndo maisha mkuu
 
Pole sana Mzee mwenzangu. πŸ€’
 
Wewe nae acha kupindisha mada. Hakujawahi kuwapo uzi unaowasema Vijana au wakaka au wanaume wa kichagga, au wanaume wa kanda ya kaskazini wanashida kwa wanawake. Kama upo basi mimi sijausoma. Huu uzi unaelezea wanawake wa kanda hiyo ya kaskazini. Wanawake sio wanaume.
 
Kwan umesikia wamekuambia wanakuhitaji we mwenyewe hawakuhitaji sababu huna kitu chochote special
 
Ndiyo unajua Leo. Kule wanafundishwa kuhusu VITU na si UTU.
Amekuja kutafuta ela mjini, Siyo kuuza sura. Ndiyo wanavyosema.
Ukija mapenzi ni sifuri.
Aaah wale viumbe kwenye hisia za kibinadamu ni zero aisee. Yaani mbele ya mali na pesa wanageuka kuwa maroboti yaani wanakuwa kama terminator yule wa uji uji. Hayaelewi roho mbaya uuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiii ngoja nikimbie wasinikute hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani nimenasa kwa mpare , vip na wao hawasomekiiiiiiiii????? Nipeni uzoefu wakuuu , kabla sjapigwa na kitu kizito
Wale wale tu hao. Tunaowafahamu tunawaona tabia zao ni zile zile
 
Jamaa wenge kweli wew umegonga wangp huko hadi kufikia hitimisho mademu wote wa kaskazini hawafai kuoa?!.
Kwa taarifa yako mademu wa huko wengi ni wife material...wanajua kupambana ktk maisha sio watu wa kuremba wala kupaka paka hina muda wote!
Kupambana ni kweli ila hawapambani kwaajiri ya kwako kama mumewe anapambana kwaajiri yake na watoto wake wewe ukianza kuwa less productive ndio mwisho wa safari.
 

Japo mke wangu ni mchaga na hana sifa tajwa hapo, ila kuna ukweli kwa asilimia nyingi katika uliyosema.

Kiuhalisia mabinti wa hayo maeneo hawapo 'romantic' na hii ni kwasababu wanaangalia zaidi kesho. Hii kuangalia zaidi kesho(pesa) inawafanya wawe wabinafsi mno.

Kiburi, ubabe na ujuaji mwingi pia ni sifa yao inayofanya wasiwe watu sahihi kwenye maisha ya kimapenzi.

Kwa kifupi ili uwe na binti wa kanda hiyo ni lazima uwe mwanaume kweli kweli. Mtu mnyoofu na usieweza kuyumbishwa. Kwakuwa ni wazuri sana, kuwakwepa kabisa sio rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…