Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Hongera ya nini?Daaa,hongera sana
Mimi alikuwa ananiletea ujeuri nilikuwa simuongeleshi na simuulizi Chochote mpaka anarudi mwenyewe kwenye mstari. 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera ya nini?Daaa,hongera sana
Nimefurahi tu babu.Daah,mbona umefurahi hivyo
Niite basi hili jina nililokuambia hata mara Moja 😂😂😂Nimefurahi tu babu.
Ngoshi Wane niite hivyo basi ili nifurahi jumapili hii 😉
Sio ake ni Wane . Hebu liunganishe basi 😂😂😂Hicho ni kiebrania au kiarabu? Eti Ngoshi ake?
Wadhani nakudanganya? Unakaa na mtu anataka awe anaigiza pesa saa kila siku. Ukikaa nae unajiuliza huyu hii speed ya kutafuta pesa anachelewa wapi au amerithi madeni ya ukoo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Hongera umebahatika moyo wa busaraHongera ya nini?
Mimi alikuwa ananiletea ujeuri nilikuwa simuongeleshi na simuulizi Chochote mpaka anarudi mwenyewe kwenye mstari. 😂😂😂
😂😂😂pole sana...ndo maisha mkuuWadhani nakudanganya? Unakaa na mtu anataka awe anaigiza pesa saa kila siku. Ukikaa nae unajiuliza huyu hii speed ya kutafuta pesa anachelewa wapi au amerithi madeni ya ukoo?
Yaani mtu ana muda wa mahaba na mpenzi wake wala kukaa kuwa na ile quality time na familia yake yeye kichwa ni kina race na fikra za kukamata pesa tu hakuna lingine. Akilala ni anawaza pesa ukikaa nae akisikia unachambua noti anajichekesha chekesha au kukuwekea ile sura ya mahaba.
Muda wote yeye anawaza pesa hawezi kukupigia muongee maswala yenu ya kihisia au kukuuliza siku yako inaendaje au kukupa mchapo wa umbea au story hizo hawana wao ni alikupigia ni kukwambia umtumie pesa ya hiki au kile. Ukijitoa umpatie say 50,000 utaona umetoa pesa ya kutosha bila aibu utaona anakuomba nyingine yaani kukupa tu taarifa kuwa hiyo umempatia haitoshi kwake anataka zaidi.
Akishika laki atataka milioni, akishika milioni atataka zaidi. Sasa huyu ni mwanamke ambaye utasema naoa nikafurahie maisha ya ndoa. Kwani nikiwa mwenyewe hizo pesa sitaweza kuzitafuta hadi yeye awepo?!
Hapo ndipo huwa nawashangaa sana watu wanaosema hawa ndio wanawake wa kuoa sijui wanawaza kutafuta pesa , itakusaidia nini kama mwanaume kuwa na mwanamke ambaye anatamaa ya pesa zaidi ya kukuletea mikosi ya stress na kukuweka mazingira mabaya ya kiafya sababu ya kukimbizana na utafutaji wa pesa kama kichaa ukakosa hata muda wa kutulia kuenjoy maisha.
Ndio maana wazee wa hizo kanda wengi wanawahi kudedi sababu ya kuamini kuwa namna ya kuwafurahisha hawa wanawake wa hizo kanda ni kwa kupambana masaa yote na hela zenyewe hawazifaidi. Ufala tu.
Mimi hunipelekeshi kis*ng* s*ng* ,kama unaona pesa ni muhimu fungua mlango pita vile nenda kakae na hao wenzako waliokuja Duniani kutafuta hela masaa yote kama Unajua kuna kuishi na kufurahia maisha kalisha hapo huo mwili wako wenye matako kama ya "GRU" wa kwenye movie ya animation ya "Despicable Me".[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Kabisa sio busara ni uvumilivu tu.Hongera umebahatika moyo wa busara
Pole sana Mzee mwenzangu. 🤒Wadhani nakudanganya? Unakaa na mtu anataka awe anaigiza pesa saa kila siku. Ukikaa nae unajiuliza huyu hii speed ya kutafuta pesa anachelewa wapi au amerithi madeni ya ukoo?
Yaani mtu ana muda wa mahaba na mpenzi wake wala kukaa kuwa na ile quality time na familia yake yeye kichwa ni kina race na fikra za kukamata pesa tu hakuna lingine. Akilala ni anawaza pesa ukikaa nae akisikia unachambua noti anajichekesha chekesha au kukuwekea ile sura ya mahaba.
Muda wote yeye anawaza pesa hawezi kukupigia muongee maswala yenu ya kihisia au kukuuliza siku yako inaendaje au kukupa mchapo wa umbea au story hizo hawana wao ni alikupigia ni kukwambia umtumie pesa ya hiki au kile. Ukijitoa umpatie say 50,000 utaona umetoa pesa ya kutosha bila aibu utaona anakuomba nyingine yaani kukupa tu taarifa kuwa hiyo umempatia haitoshi kwake anataka zaidi.
Akishika laki atataka milioni, akishika milioni atataka zaidi. Sasa huyu ni mwanamke ambaye utasema naoa nikafurahie maisha ya ndoa. Kwani nikiwa mwenyewe hizo pesa sitaweza kuzitafuta hadi yeye awepo?!
Hapo ndipo huwa nawashangaa sana watu wanaosema hawa ndio wanawake wa kuoa sijui wanawaza kutafuta pesa , itakusaidia nini kama mwanaume kuwa na mwanamke ambaye anatamaa ya pesa zaidi ya kukuletea mikosi ya stress na kukuweka mazingira mabaya ya kiafya sababu ya kukimbizana na utafutaji wa pesa kama kichaa ukakosa hata muda wa kutulia kuenjoy maisha.
Ndio maana wazee wa hizo kanda wengi wanawahi kudedi sababu ya kuamini kuwa namna ya kuwafurahisha hawa wanawake wa hizo kanda ni kwa kupambana masaa yote na hela zenyewe hawazifaidi. Ufala tu.
Mimi hunipelekeshi kis*ng* s*ng* ,kama unaona pesa ni muhimu fungua mlango pita vile nenda kakae na hao wenzako waliokuja Duniani kutafuta hela masaa yote kama Unajua kuna kuishi na kufurahia maisha kalisha hapo huo mwili wako wenye matako kama ya "GRU" wa kwenye movie ya animation ya "Despicable Me".[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Wewe nae acha kupindisha mada. Hakujawahi kuwapo uzi unaowasema Vijana au wakaka au wanaume wa kichagga, au wanaume wa kanda ya kaskazini wanashida kwa wanawake. Kama upo basi mimi sijausoma. Huu uzi unaelezea wanawake wa kanda hiyo ya kaskazini. Wanawake sio wanaume.WACHAGA hawaepukiki kwenye kuwaoa au kuolewa nao n hv Kama kungekuwa na sensa ya makabila Basi WACHAGA wangeongoza angalia mazingira unayoishi, fanyia kazi au unapopenda kupotezea muda je WACHAGA wapo kwa asilimia ngapi? Na je status yamaisha yao ipoje? Lazima ukute anajiweza na ukimuangalia baada ya miez au miaka kadhaa unamuona ATAKUWA mbali zaidi.
Kwakua umaskini n tatzo kwenye familia zetu nyingi na kupelekea kila anaetaka kuoa au kuolewa lazima achungulie kule anapotaka kwenda kunanin ndipo hapo wengi hujikuta anakutana na mchaga.
WACHAGA Kiukweli ndio kabila lenye spirit ya kumcha MUNGU, kwenda shule na kupambana kwelikweli ndio Mana kila ofisi kila taasisi kila Biashara na kila eneo lolote like lenye pesa WACHAGA ndio umewakuta wakwanza.
Vijana wajifunze kujua Kuna malezi ya familia hvyo mtu kuwa na roho nzuri au mbaya haitokan na wewe kabila gan Bali n maadali yahuko ulipolelewa.
WACHAGA hawaepukiki Kama unataka kuendelea muhimu omba utue kwa mwelewa.
Kwan umesikia wamekuambia wanakuhitaji we mwenyewe hawakuhitaji sababu huna kitu chochote specialNimeuliza swali ila hujajibu kutokana na maelezo ya swali. Hivyo basi nahitimisha yafuatayo;
1. You are not civilized, huna uungwana.
2. Ni mshamba kwa damu
3. Natoa pole kwa bosi wako.
Mwisho, mimi mbona naona Kilimanjaro ni pa kishamba mno? Yaani hata mshipa haushtuki, nawaona pia na hao wanawake wenu wa kawaida mno.
NB: huna sababu ya kuniambia nije Kilimanjaro ukiacha Mlima Kilimanjaro ambao si kila mtu anapenda milima.
Got that you pimp?
Aaah wale viumbe kwenye hisia za kibinadamu ni zero aisee. Yaani mbele ya mali na pesa wanageuka kuwa maroboti yaani wanakuwa kama terminator yule wa uji uji. Hayaelewi roho mbaya uuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiii ngoja nikimbie wasinikute hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo unajua Leo. Kule wanafundishwa kuhusu VITU na si UTU.
Amekuja kutafuta ela mjini, Siyo kuuza sura. Ndiyo wanavyosema.
Ukija mapenzi ni sifuri.
Hatuhitajiani. Simple like that.[emoji23]Kwan umesikia wamekuambia wanakuhitaji we mwenyewe hawakuhitaji sababu huna kitu chochote special
Wale wale tu hao. Tunaowafahamu tunawaona tabia zao ni zile zileJamani nimenasa kwa mpare , vip na wao hawasomekiiiiiiiii????? Nipeni uzoefu wakuuu , kabla sjapigwa na kitu kizito
Kupambana ni kweli ila hawapambani kwaajiri ya kwako kama mumewe anapambana kwaajiri yake na watoto wake wewe ukianza kuwa less productive ndio mwisho wa safari.Jamaa wenge kweli wew umegonga wangp huko hadi kufikia hitimisho mademu wote wa kaskazini hawafai kuoa?!.
Kwa taarifa yako mademu wa huko wengi ni wife material...wanajua kupambana ktk maisha sio watu wa kuremba wala kupaka paka hina muda wote!
Shape sasa kama hivi ya GRU.Yesuuuu na Maria [emoji1787]