Mabinti wa Kichaga sasa hivi wamepata sifa mbaya Tanzania nzima

Mabinti wa Kichaga sasa hivi wamepata sifa mbaya Tanzania nzima

Ayatollah the Bird

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2026
Posts
314
Reaction score
682
Hakuna asiyezijua sifa zao. Kwa mwenendo huu, siku zijazo wanaweza kukosa waume kwa sababu tayari wamejijengea CV mbaya.
 
Wachaga ni wezi sana na saivi wanamchukia sana mamba kwasababu wanashindwa kuilinda migongo yao
 
Hao watu kabla ya ndoa,:ni watu wazuri kwenye ushauri, mawasiliano, na watu wa mungu sana.
Hao watu baada ya ndoa: ni jeuri, kiburi, dharau, na sahau juu ya utii na unyenyekevu. Ni watu wa mashindano kila kitu kwao ni ugomvi mkubwa.
 
Kwa macho yangu niliona mchaga kabla hata ya kumzika mmewe wameitana kikao na kaka zake wanapanga mikakati ya kuhakikisha mali za marehemu ziko chini yao ... Aisee tangu siku ile nikasema nikiona ndugu au mwanangu anaoa mchaga naua undugu
 
Mabinti wa ki-Chagga sikilizeni, mimi si m-Chagga,ila nawashauri achaneni kusikiliza inferior creatures wanaojaribu kushusha self-esteem yenu,you are the best,you are inteligent,you are focused,you are supportive,you are man`s best companion.Kila jamii ina watu wenye mapungufu,hata huyu mtoa mada katika kabila lake kuna watu wema na wabaya ,wabaya wachache hawawezi kuharibu sifa za kabila zima
 
RIZIKI ya MTU Haina ukabila!
Kuna kipindi sikutaka kabisa kuwa na mahusiano na mabinti wa Kanda zetu huko!coz walisifika ni mama huruma!
Nikaja pigwa tukio la ajabu na ninaemwamini!!
Nilirudi kule kule,Kuna mmoja just a glance nikatamka "Hii tuna beba" Hadi sasa!
Japo sijafunga milango coz hupaswi kuwa na msimamo wa kudumu kwenye mahusiano,utateseka,cheza na beat tu!! Coz yeyote anaweza kuwa chochote kwenye haya maisha USI m write off!
 
Back
Top Bottom