Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Acha wivu mkuu.
Hujui kuwa najua!!Sijui mkuu. Wewe ndio unajua.
Wewe ukipata mume inatosha. Sio lazima kila mtu awe na mume.Hakuna mtu asiyejua sifa zao.siku zijazo watakosa waume maana wamepata Cv mbaya.
Wanauchukia umaskiniTutajie sifa zao Mbaya.
Wachaga ni kama maji; ukiwachukia wewe ndio unaumia popote ulipo wapo!Wachaga ni wezi sana na saivi wanamchukia sana mamba kwasababu wanashindwa kuilinda migongo yao
Vipi kuhusu takwimu za talaka pale RITA?Miaka nenda rudi nasikia mabinti wa kichaga wana sifa mbaya, ila kila siku ndio wanaongoza kuolewa.
Suala aliloleta mleta mada ni kupata waume. Talaka hiyo ni ishu nyingineVipi kuhusu takwimu za talaka pale RITA?
Mtwara hakuna mchaga yeyote kwasasa alie na Jina kubwa na mafanikio makubwa kama pale zamani....kwasababu washafungashiwa virago na wenyeji kwasababu sisi mitaji yetu ni ya halali na sio ya wizi wala dhuluma....mtwara mjini alikuwepo kweka jamaa alikuwa na mafanikio yenye dhuluma mno ndani yake....wachaga walikuwa zamani ila sio kwasasa wezi ninyiWachaga ni kama maji; ukiwachukia wewe ndio unaumia popote ulipo wapo!
Unaweza kwenda mtwara ukateua diwani unakutana na Mchaga, nenda sumbawanga, teua mganga mkuu wa Wilaya unakutana na mchaga
Neda kigoma, chagua kiongozi wa wafanya biashara unakutana na mchaga.
Nenda morogoro kule ndani ndani kabisa tafuta mfugaji mkubwa wa Ngombe za maziwa, unakutana na mchaga
Kilimanjaro ni kati ya mikoa yenye shule nyingi za msingi na sekondari walizojenga wenyewe ILA Hakuna mwanafunzi amewahi kukalia ndoo au mawe....Ukiwachukia wachaga wewe ndio unaumia wakati wao wanachanja mbuga
Mada ni wanawake wa kichaga kuwa na sifa mbaya!Suala aliloleta mleta mada ni kupata waume. Talaka hiyo ni ishu nyingine