Mabinti wa Kichaga wamejaliwa sura na shepu ila tabia hawana kabisa

Ni kweli, kwenye pesa, wao ni namba one. Na tatizo sijui huwa wanazifanyia nini, maana utakuta Mavazi yao, shida. Kula kwa shida etc au huwa wanajenga kwao. Namuita L, F, J, c na e waje watupige mawe
Acha waje ila ni ukweli.
 
Shape gani? Wengi wanamashape kama ya simba miguuni sasa 😂 😂 God I'm sorry but hawa wachaga wanamakomwe afu miguu midogo sana afu roho mbaya sana ukipata mali anatamani akuue ili abaki na mali
 
Nimetoka kusuluhisha ugomvi hapa wa jirani yangu ameoa mtoto Muha. Mke anafanya kazi ila kila siku lazima jamaa ampatie Hela ya nauli kwenda na kurudi na lunch mchana. Na bado matumizi yote ya ndani jamaa anafanya. Sasa alikuwa anatoka amuachishe mkewe kazi ili akae ndani tu awe anahudumia kila kitu. Ni vitaa.
 
Waha wanawezana wao kwa wao sasa wewe kama sio muha unaoaje muha 😂
 
Rudisha pumbu zetu haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…