Mabinti wa Kichaga wamejaliwa sura na shepu ila tabia hawana kabisa

Mabinti wa Kichaga wamejaliwa sura na shepu ila tabia hawana kabisa

Na huyu jirani yangu ni mtu wa Mbeya. Watu wa nguvu nguvu na Amri! Ila kwa mkewe Muha ni kama Yuko "sheli" kazima "fegi" Yaniii 🤣
Waha ni kiboko afu wajeuri sana kingine wabishi hatari watu wa mbeya kwa wake zao huaga wapole sana ila nenda usukumani na kule kwa wakurya 😂
 
NAUNGA MKONO HOJA,niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke wa kichaga Mrombo alinishinda japo na Mimi ni ma rangu mchaga mwenzangu lakini alinishinda KWA tabia hizo ulizozisema,unapangiwa unyumba,kiburi na dharau hata kama Hana kipato/Hana kazi ajira,na hajimudu lakini kiburi kimejaa pomoni,nikaenda kuoa muhehe wa Iringa ana kipato anajimudu hata kuweza kuendesha familia lakini heshima na dabu na unyenyekevu mbele,na hakupunji unyumba,muda wote ukihitaji hakunyimi.Kaka yangu pia MCHAGA naye kwenda kuoa TANGA.Kaka mkubwa ndio kaoa MCHAGA naye ndoa kuna kipindi ilitaka kuvunjika mama ndio aliokoa jahazi make WA kaka naye ni JEURI KIBRI..ila mke WA kaka aliyeoa tanga wanaishi vizuri tu.Mimi ni mchaga ila NAUNGA MKONO HOJA.
 
Tatizo kubwa sana la hao watu ni kutoa maQu kwa wanaume zao kwa masharti. Kwa mfano anaweza akakuambia "kama hauninunulii gauni lile sahau kuhusu uchi", na atashikilia msimamo huohuo hadi utekeleze takwa lake.

Kuna masawe mmoja tulienda naye Masasi kufanya kazi, akatongoza mwanamke wa kule wakati huo nyumbani kwake (Dar) alikuwa na mke na watoto wawili. Mbona alibaki Masasi hadi leo!! Anasema aseee kumbe duniani kuna wanawake wasiosumbua kwenye suala la kuwekana!!!!!
Aizee masawe!
 
Wana shepu wakiwa teenagers tu, ule udogo udogo, wakifika 20+ utamkataa kama matunzo 0 ndo labisaaa.
Komwe hilo, titi hilooo, tumbo ndo balaa kalio hamna.
Ila sura wengi wao wamebarikiwa, akijitahidi asinenepe ni mzuri.
 
Back
Top Bottom