Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Wachaga wana sura nzuri sana tatizo lao wengi wao wanakifua kipana halafu miguu kama supoki za baiskeli na tako hakuna.Sijui huwa inasababishwa na nini
Na masweta ya dukani na matshit!Track suit na mokasin
Bom la nyuklia!Wachaga wana sura nzuri sana tatizo lao wengi wao wanakifua kipana halafu miguu kama supoki za baiskeli na tako hakuna.Sijui huwa inasababishwa na nini
Asalamaleko shekhe 😂Komwe hilo, titi hilooo, tumbo ndo balaa kalio hamna.
Waleko msalam maalimAsalamaleko shekhe 😂
Mkuu vipi ikiwa mama ni mchaga na baba ni mpale? Je wako hivyo?Hawajui kunyenyekea kwa waume zao, muda wote wapo juu. Mapenzi hawajui, wanachojua ni kuomba hela tu.
Kama umeoa Mchaga, kaa naye kwa akili. Maana ukileta umwamba wako, utakipata.
Imeishaaaaaaaaaaaa 👐NAUNGA MKONO HOJA,niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke wa kichaga Mrombo alinishinda japo na Mimi ni ma rangu mchaga mwenzangu lakini alinishinda KWA tabia hizo ulizozisema,unapangiwa unyumba,kiburi na dharau hata kama Hana kipato/Hana kazi ajira,na hajimudu lakini kiburi kimejaa pomoni,nikaenda kuoa muhehe wa Iringa ana kipato anajimudu hata kuweza kuendesha familia lakini heshima na dabu na unyenyekevu mbele,na hakupunji unyumba,muda wote ukihitaji hakunyimi.Kaka yangu pia MCHAGA naye kwenda kuoa TANGA.Kaka mkubwa ndio kaoa MCHAGA naye ndoa kuna kipindi ilitaka kuvunjika mama ndio aliokoa jahazi make WA kaka naye ni JEURI KIBRI..ila mke WA kaka aliyeoa tanga wanaishi vizuri tu.Mimi ni mchaga ila NAUNGA MKONO HOJA.
Wanawake wengi wanakula chips kibao + soda + hawafanyi mazoeziHapo sawa, japo miaka ya sasa kumeongezeka ugonjwa wa vitambi kwa wanawake
Na hii imewakumba wanawake wote sio Wachagga pekee
Inategemea mkuu na maleziMkuu vipi ikiwa mama ni mchaga na baba ni mpale? Je wako hivyo?
Kweli mkuu,,na mimi nipo Marangu kwa sasa,,Na miguu fito! Ila kuna wale wamarangu kunao ni wasupuu wameumbika viproper
Tabia tutafundishana🤣
Kwa kweli japo hata Wanaume tumekumbwa na hili tatizo piaWanawake wengi wanakula chips kibao + soda + hawafanyi mazoezi
Hapo kitambi n lazima
We acha kiherehere bwege wewe. Wamesemwa vibaya nimewatetea na kuwaonesha kuwa hayo makabila mengine pia hawana hizo shepu mnazowazodoa nazo wachaga. In fact wachaga ndio package halisi.Umeelewa mada au unakurupuka?
Mada inazungumzia Wachaga, ww unaenda kwa wazaramo, au umeolewa uzaramoni?
Kagongwe huko, kama demu wako n mchaga na ana shape kama kiboko, utajuana nae huko usiniletee hasira zakoWe acha kiherehere bwege wewe. Wamesemwa vibaya nimewatetea na kuwaonesha kuwa hayo makabila mengine pia hawana hizo shepu mnazowazodoa nazo wachaga. In fact wachaga ndio package halisi.
Mwanaume mzima unaonea wivu wanawake wa kichaga. We ndio wale dudubaya anawasema. Umeshindwa kulinda mgongo wako.Kagongwe huko, kama demu wako n mchaga na ana shape kama kiboko, utajuana nae huko usiniletee hasira zako
Tunaomba picha tuthaminishe, ila usilete ya Nandy wala Vanessa Mdee.Hawajui kunyenyekea kwa waume zao, muda wote wapo juu. Mapenzi hawajui, wanachojua ni kuomba hela tu.
Kama umeoa Mchaga, kaa naye kwa akili. Maana ukileta umwamba wako, utakipata.
WAchaga wamebarikiwa , loh!