Mabinti wa Kichaga wamejaliwa sura na shepu ila tabia hawana kabisa

Na huyu jirani yangu ni mtu wa Mbeya. Watu wa nguvu nguvu na Amri! Ila kwa mkewe Muha ni kama Yuko "sheli" kazima "fegi" Yaniii 🤣
Waha ni kiboko afu wajeuri sana kingine wabishi hatari watu wa mbeya kwa wake zao huaga wapole sana ila nenda usukumani na kule kwa wakurya 😂
 
NAUNGA MKONO HOJA,niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke wa kichaga Mrombo alinishinda japo na Mimi ni ma rangu mchaga mwenzangu lakini alinishinda KWA tabia hizo ulizozisema,unapangiwa unyumba,kiburi na dharau hata kama Hana kipato/Hana kazi ajira,na hajimudu lakini kiburi kimejaa pomoni,nikaenda kuoa muhehe wa Iringa ana kipato anajimudu hata kuweza kuendesha familia lakini heshima na dabu na unyenyekevu mbele,na hakupunji unyumba,muda wote ukihitaji hakunyimi.Kaka yangu pia MCHAGA naye kwenda kuoa TANGA.Kaka mkubwa ndio kaoa MCHAGA naye ndoa kuna kipindi ilitaka kuvunjika mama ndio aliokoa jahazi make WA kaka naye ni JEURI KIBRI..ila mke WA kaka aliyeoa tanga wanaishi vizuri tu.Mimi ni mchaga ila NAUNGA MKONO HOJA.
 
Aizee masawe!
 
Wana shepu wakiwa teenagers tu, ule udogo udogo, wakifika 20+ utamkataa kama matunzo 0 ndo labisaaa.
Komwe hilo, titi hilooo, tumbo ndo balaa kalio hamna.
Ila sura wengi wao wamebarikiwa, akijitahidi asinenepe ni mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…