Mabinti wa Kichaga wamejaliwa sura na shepu ila tabia hawana kabisa

Imeishaaaaaaaaaaaa πŸ‘
 
Wanawake wengi wanakula chips kibao + soda + hawafanyi mazoezi

Hapo kitambi n lazima
Kwa kweli japo hata Wanaume tumekumbwa na hili tatizo pia

Hata ule moto tuliokuwa nao mwaka 47 saivi umeisha kabisa kutokana na kumiliki vitambi vya kufutia simu πŸ€ͺ
 
Umeelewa mada au unakurupuka?

Mada inazungumzia Wachaga, ww unaenda kwa wazaramo, au umeolewa uzaramoni?
We acha kiherehere bwege wewe. Wamesemwa vibaya nimewatetea na kuwaonesha kuwa hayo makabila mengine pia hawana hizo shepu mnazowazodoa nazo wachaga. In fact wachaga ndio package halisi.
 
We acha kiherehere bwege wewe. Wamesemwa vibaya nimewatetea na kuwaonesha kuwa hayo makabila mengine pia hawana hizo shepu mnazowazodoa nazo wachaga. In fact wachaga ndio package halisi.
Kagongwe huko, kama demu wako n mchaga na ana shape kama kiboko, utajuana nae huko usiniletee hasira zako
 
Kagongwe huko, kama demu wako n mchaga na ana shape kama kiboko, utajuana nae huko usiniletee hasira zako
Mwanaume mzima unaonea wivu wanawake wa kichaga. We ndio wale dudubaya anawasema. Umeshindwa kulinda mgongo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…