Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Wanaovaa niqab kama ibada yao huwa picha zao zinapatikanaje kwa ajili ya vitambulisho na passport??
Niqab ni ziada. Ktk kupiga picha huvua. Lkn hijab (stara) ni lazima kwa muumini.

Sasa jibu kosa gn la kikatiba nchi nimefanya kwa kuwa inaruhusu hijab na mtaala wa dini mashuleni.

Nchi ambayo nusu ya kodi inatoka kwa waislam.

Ni haki kweli kodi ya waislam inatumika kuwekeza ktk viwanda vya chibuku, safari laga kuliko kuirudisha kwao na kuwasomesha watoto wa wasiojiweza mfumo wao wa maisha.
 
Wawee wanavaa majubaaaa jamaniii... kweli sio hakiii kuvaa pensiii. Sawa wew zumbukukuu
 
Niqab ni ziada kwako kwa tafsiri yako, kwa wenzako wengine niqab na burqa ndio stara yenyewe kwa hiyo usilazimishe mambo yako ya kidini sehemu zisizohitajika, hata hao wavaa niqab na burqa wanalipa kodi.
 
Upuuuzi mtup
u Huo jeshini Hamna Dini hutaki Acha Hata nguruwe utalisha tuuu jeshini.hizo Dini peleka kanisani Au msikitini
 
Yan ila nyie wenzetu wa Kobazi na vitambaa huwa mnazingua sana😂😂 mimi nlkua nataman hata nyama ya kitimoto walishwe
 
As an African, you travel to Israel to pray on a wall. This is called pilgrimage and you automatically earn the title of JP.

As an African, you travel to Saudi to pray on a black stone. This is called Hajj and you automatically earn the title of Alhaji.

As an African, you travel to your own Ancestral home or village where you were born to pray on Stone, River, Tree, or any symbolic spiritual statue in your home, this is called Pagan.ism and tagged as Felfi. sh, Dem.on!c and Devi.lish.
 
Hijab si gauni refu au dera.

Hijab ni nguo itakayoleta stara ya kufunika mwili. Hivyo ziko nguo za mchezo zenye kukidhi haja ya hijab.

Vihunzi hivi tunaweza kuvivuka. Lkn kwanza tunapigania utayari wa serikali yetu kuondoa masharti ya kibaguzi yasiyofata katina yanayofanywa na wale tuliowaweka mbele na kuwaamini.

Yawezekana hawana ufahamu huu. Kama ambavyo wazee wetu wa bakwata walivyo na ufahamu huu. Lkn ufahamu ni kitu kimoja, kuyasema haya baada ya kupata ufahamu ni kitu kingine. Ndio maana waislam wanapata wasiwasi iwapo bakwata ni ya waislam au ni tawi la watawala.

Nijibu sasa hoja yako. Kwa kuanzia tunaweza kujifunza kupitia kwa wenzetu.

Lkn niko tayari najiandaa kamrasha litakaloleta upembuzi wa jambo hili.

Kwasasa tupate uzoefu kupitia link hizi


View: https://youtu.be/zddiPwicaH0?si=oDVehMbqsHZVbpLm

View: https://youtu.be/RDx2zl5li5k?si=TwW5LxcLzKEYHPPA

View: https://youtu.be/LFVeJK2ZdkQ?si=3xNDM8I5KvSnTWs1

View: https://youtu.be/vwFzn5TucuQ?si=BmHGBiZ5p2LkMIy7
 
That is so called "Philosophy" and its dangerous.

Falsafa haikwepeki na ndio inayopifanwa hapa duniani. Vita vyote chanzo ni falsafa. Iwe ya imani, Uongozi, uchumi nk
 
Waislamu muwe mnajielimisha kidogo, mnaleta uzito kwenye jamii yenu shauri ya 'ujinga' wenu wa rejareja.
 
Waislamu muwe mnajielimisha kidogo, mnaleta uzito kwenye jamii yenu shauri ya 'ujinga' wenu wa rejareja.
Shida iliopo ukristo uko contaminated tayari. Kiasi kwamba huwezi tofautisha kati ya ukristo na ubepari. Ndio maana mambo muhimu ninyi mko torelent. Kiasi kwamba hata wakitaka watu wakasema yetu alikuwa shoga (gay) ninyi mtavumilia tu. Uislam hauna uvumilivu huo. Kwa hiyo hapa tunajaribu kusilimisha ili hatua zoanze kuchululiwa. Ujinga ni wenu kwa kuwa u r already contaminated
 
Niqab ni ziada kwako kwa tafsiri yako, kwa wenzako wengine niqab na burqa ndio stara yenyewe kwa hiyo usilazimishe mambo yako ya kidini sehemu zisizohitajika, hata hao wavaa niqab na burqa wanalipa kodi.
Sawa. Ni suala la taratibu tu. Kwani ukitaka picha password ya mwenye niqab anaweza kuvua niqabs na akapigwa picha na mwanamke mwenziwe. Niqab si kikwazo
 
Yeye amezungumzia kuhusu Imani na mafunzo ya kiimani akasema serikali haina dini ina katiba na katiba inawalinda wananchi na kuheshimu Imani zao ama dini zao unasema chukua toto lako unakosea maana vilevile hii nchi sio yakikiristo pekee NI nchi ambayo wananchi wake wanaimani tofautitofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…